Mzawa Halisi
JF-Expert Member
- Feb 25, 2009
- 645
- 380
Kwani mkuu wazee wa mafeki/wachina hawana blue ray dvd's mtaani?
Mkuu Sikonge na hii vipi? Mie nilijipigapiga wakati nikiwa chuo nikainunua kwa pesa ya ngororo (boom). Mpaka leo bado ninayo, haijawahi kuniharibikia na wala sina mpango wa kui-replace.
B & O si mchezo kaka hizo ni za ma tycoon kwa miye siiwezi,naitamani lakini mambo ya mufuko ndio shidaNinayo B & O, NATAKA USD 4,000.KAMA UKO serious nitafute,nashidwa kuitumia kila nikifungua majirani wanalalamika.
Hakuna cha Sony, LG wala Samsung.....mambo yooooteeee Bose
Mkuu,
Bose si watengenezaji wa HT. Wameingilia tu vitengo vya watu ambavyo haviwahusu.
Jamaa ni wazuri sana kwa Spika za kwenye maholi, Maduka makubwa, mashuleni, hospital nk kwa sababu sauti zao ziko very clear ila kwenye Cinema na miziki kama concert, siyo hicho kinatafutwa.
Tuseme kunatokea mlipuko, ile sauti ya mlipuko huwa siyo NZURI na inabidi ITISHE wakati huo BOSE yeye ana sauti NYEROROOOOOOOO.........
Utalipa Mamilioni kwa vitu ambavyo waweza kuvipata kwa watu wa bei za kawaida. BOSE unaunua zaidi JINA maana kila mjuvi wa bei ya BOSE atakunyenyulia mikono. Ila hawa watu hawana historia kama akina SONY, Panasonic etc kwenye mambo ya Cinema. Wameingia tu kwa sababu wanaweza kutengeneza Spika, lakini ndiyo eneo lao? mhhh!!! Ila kama kuna watu watanunua au wagonjwa wa vifaa vya BOSE, why not take their money?
Once you go "Bose".......you ain't gonna look back! Nenda pale Best Buy kajaribu demo za home theatres za Bose, Sony, Panasonic, LG, Samsung etc, then utakuja kuniambia kama naifagilia Bose bure. Nenda Best Buy yoyote
Cheki DAV-DZ650 halafu ulete mrejeshosony hometheatre model ipi??????maan zipo nyingi,kwangu mie ni bose home thetre au philips,zingine zote hamna kitu
bei gani hiyo mkuu?Cheki DAV-DZ650 halafu ulete mrejesho
Laki saba tu mkuu.bei gani hiyo mkuu?
Maeneo gani mkuu?Laki saba tu mkuu.
Address hio,Maeneo gani mkuu?