Mtu Asiyejulikana
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 1,694
- 3,982
Nunua HIGH FIDELITYHome Theater, Sound Bar na HI-Fi Music kilicho Bora kwa Wapenda music Majumbani. kwa wale ambao tunapenda music..... je kati ya hivi vitu ni kipi ni bora ? tuweze saidiana kama mtu anataka kununua music system ninunue kipi katika ya hivyo.
uzuri wake ni nini hii HI-FINunua HIGH FIDELITY
Inategemea na budget mkuu,Home Theater, Sound Bar na HI-Fi Music kilicho Bora kwa Wapenda music Majumbani. kwa wale ambao tunapenda music..... je kati ya hivi vitu ni kipi ni bora ? tuweze saidiana kama mtu anataka kununua music system ninunue kipi katika ya hivyo.
Speaker 21 😁😁 dah balaaaaInategemea na budget mkuu,
Hi-FI ni kwa Audiophiles wale watu wanaopenda sauti za uhalisia aka studio quality.
Home theatre ni mpangilio wa speaker kumimic kumbi za cinema.
Kama una unlimited budget unaweza ukaweka speaker 21 kama ukumbi wa cinema vile ili upate soround sound nzuri.
Kama budget ndogo unaangukia huko kwenye sound bar na home theatre zenye speaker chache kama 2:1, 5:1 etc.
Kuna standard mpaka ya speaker 24 ila sijui kama wameshaanza kutumia kwenye kumbi za cinema.Speaker 21 😁😁 dah balaaaa
bajeti ya kimaskini tu Mkuu sh 700,000 - 800,000 za madafu. napenda music hasa usikike kama studio..quality nzuri sana. pia nishauri kati ya Hisense, LG, na Boss upi mziki muziriInategemea na budget mkuu,
Hi-FI ni kwa Audiophiles wale watu wanaopenda sauti za uhalisia aka studio quality.
Home theatre ni mpangilio wa speaker kumimic kumbi za cinema.
Kama una unlimited budget unaweza ukaweka speaker 21 kama ukumbi wa cinema vile ili upate soround sound nzuri.
Kama budget ndogo unaangukia huko kwenye sound bar na home theatre zenye speaker chache kama 2:1, 5:1 etc.
aina gani watts ngapi? i mean brand.
upande wa HI- Fi mbona unakuwa na speaker chache tu. je inatoa sauti nzuri? na mdundo ule wa maana usiumiza masikio....kama haya madude ya kichina? yana kelele... mi napenda music ambao ukipigwa kama hata wakati wapo studio walidondosha sindano inasikikaInategemea na budget mkuu,
Hi-FI ni kwa Audiophiles wale watu wanaopenda sauti za uhalisia aka studio quality.
Home theatre ni mpangilio wa speaker kumimic kumbi za cinema.
Kama una unlimited budget unaweza ukaweka speaker 21 kama ukumbi wa cinema vile ili upate soround sound nzuri.
Kama budget ndogo unaangukia huko kwenye sound bar na home theatre zenye speaker chache kama 2:1, 5:1 etc.
😂😂 Hadi sindano.. chukua home theaterupande wa HI- Fi mbona unakuwa na speaker chache tu. je inatoa sauti nzuri? na mdundo ule wa maana usiumiza masikio....kama haya madude ya kichina? yana kelele... mi napenda music ambao ukipigwa kama hata wakati wapo studio walidondosha sindano inasikika
Sababu lengo la Hifi ni kukupa reality, most of time zinatumika kwenye muziki. Na home theatre zinakupa sorround sound ambazo zipo embebed kabisa kwenye movie.upande wa HI- Fi mbona unakuwa na speaker chache tu. je inatoa sauti nzuri? na mdundo ule wa maana usiumiza masikio....kama haya madude ya kichina? yana kelele... mi napenda music ambao ukipigwa kama hata wakati wapo studio walidondosha sindano inasikika
Unachotakiwa kujua na kuelewa ni kwambaupande wa HI- Fi mbona unakuwa na speaker chache tu. je inatoa sauti nzuri? na mdundo ule wa maana usiumiza masikio....kama haya madude ya kichina? yana kelele... mi napenda music ambao ukipigwa kama hata wakati wapo studio walidondosha sindano inasikika
Panasonic 45wattsaina gani watts ngapi? i mean brand.
Hizi ni takataka katika music bobvipi kuhusu Sea piano 661
Watts 45? No hako ni ka radio kadogo kakusikiliza kwenye tent
what is the best mzee?Hizi ni takataka katika music bob