BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,494
- 4,076
Balantanda
Pale Dom unapakumbuka Chako ni Chako(kama sijakosea spelling), kuku watamu kweli pale.
Kelly.
Ni kweli kufundisha pia kuna ugumu wake kama kuongea in public ni kazi tena wanafunzi chuoni.
Tatizo kile chuo kwa sasahivi ni kidogo sana,wanafunzi wengi sana halafu bado kipo city centre. Na siku hizi intake zinachukuwa watu wengi kushinda enzi zetu,kwahiyo full msongamano. Maghorofa yako manne sasa labda yaongezeke kwenda juu ila chuo ni kidogo sana kiardhi. Kingehamia nje kidogo ya dar na eneo kubwaa kama UDSM hivi ingekuwa fresh. Intake ya mwaka 2008/2009 ndo wameanza kutoa Bachelor badala ya AD.
Kelly! BRB
nakumbukia matunda;
embe ng'ong'o kwa pili pili...
...kungu!
mastafeli na matopetope,
mashelisheli, fenesi!
...ushakula ubuyu weye?
mboga ya maboga kwa nazi, kisamvu, kivunde, uhhh huh!
...mapera na ukwaju! ...angalau kwenye corner shops unaweza bahatika kupata ukwaju, lakini huwezi fananisha na harufu ya 'madoriani' pale markiti ya darajani,...!
Ndio maana huyo Ku-ha_NI alikuita KI-GHOST, lately umekuwa kila kitu Kuhani, Kuhani, Kuhani, kulikoni?? Au ndio unam-beep kiaina? Acha kufagilia watu hovyo hovyo, Kuhani ni bwege tu kama cupcake wako!! Wote ni mangwini, empty suit, wapo nyuma ya mi-computer hii kazi ku-google na kuwatisha watu naive kama wewe..........yes, unaboa pia!!
π YNIM
Ndio maana huyo Ku-ha_NI alikuita KI-GHOST, lately umekuwa kila kitu Kuhani, Kuhani, Kuhani, kulikoni?? Au ndio unam-beep kiaina? Acha kufagilia watu hovyo hovyo, Kuhani ni bwege tu kama cupcake wako!! Wote ni mangwini, empty suit, wapo nyuma ya mi-computer hii kazi ku-google na kuwatisha watu naive kama wewe..........yes, unaboa pia!!
π YNIM
Hamna anaetaka drama na mdada hapa, atleast sio mimi, mambo hayo anayaweza huyo cupcake wako NN!!
Umeniboa zaidi kwa kuniandikia PM......don't write me PM!!
Asante na kazi njema.
Hapa natokwa na mate kabisa kwa kuangalia nyama choma...yaani nakumbukia manyanya them days..nyama choma with ndizi za kuchoma huku unashushia na soda ya fanta lol!..uuuuuuuuuuuwiii..au pale kinondoni juu,chips kwa jimmy plus chachandu...duuh yani i miss nyama choma yaani ni mbuzi kwa kwenda mbele....
do you remember that>?!
Mhh nimeona hii picha mate yakanitoka.!
Imenikumbusha mbali sana....,MNADANI enzi hizo nikiwa A-level Msalato. Tulikuwa tunapata ruhusa mara moja kwa mwezi kwenda out,tukimaliza shopping mjini tunapita mnadani kupata nyama choma + ndizi choma. Home sweet home asikuambie mtu..! Ughaibuni beef hata utie vikorobwezo gani no ladha kabisa! Dah mateso bila chuki.
Beshte,
Halafu hii cupcake b.s imeanza kuzeeka nayo vile vile..unaboa mazee, unacheza kama Makwekwe Rangers........aiiiiiiiii!π
Umesahau mabibo....mapera....mabungo....
Lol,Chako ni Chako napakumbuka sana,nilivyokuwa Dom nilikuwa sikosi pale,yaani mchana ukipita pako wazi na pametulia kama nini,nenda kuanzia saa moja usiku hivi,panajaa mpaka basi,kuku wa pale ni watamu mpaka basi...Pia kuna sehemu moja inaitwa Hajusha(iko pembeni ya CCM makao makuu) pale ni maarufu kwa nyama choma na supu ya mkia..Jamaa wanachoma nyama wale si mchezo
mtu anayeweza kufundisha ni mtu kama mwanakijiji hivi au Kuhani wanaonekana kuwa na confidence...
ni kweli kile chuo sasa kihamie nje ya mji kama chuo kikuu nao si wamejenga mabweni mwengine huko ubungo nao wamafunzi wamekuwa wengi sana..siyo kama zamani kulikuwa na wanafunzi wachache sana....kuongezeka kwenda juu i think inategemeana na msingo upo imara kiasi gani maana jengo lisije kuanguka na kuua watu bure.....
oh kwa hiyo sasa hivi wanatoa bachelor?>..so kutakuwa na advance na bachelor?...hahaha alafu nakumbuka uncle alikuwa ananichunga sana pale IFM akiona vi-boys vinaniongelesha alikuwa ansema usome acha kuongea na hawa vijana hawatakupeleka anywhere basi vijana walikuwa wakimuona uncle wanashika adabu hahaha uncle si unajua alikuwa bitoz hata yeye! aaawi i miss them days kwa kweli....hahahaha
Umesahau kujielezea wewe ukoje?? Anyway Good luck
...π na Zambarau, shokishiki,...
...togwa!!! ushawahi kunywa togwa (kabla haijachacha kuwa pombe?)
acha tu!
Inaelekea wewe na uncle wako mlikuwa mnashibana sana at ifm. Pia yeye ni mwanaume lazima alikuwa anajua vijana walikuwa wanakuzingua zingua kwahiyo lazima ashtue kidogo kama mzazi.
Sasa hivi wanatoa bachelor hivyo advanced diploma inafutwa. Sasa hivi tumebaki na memories ya sehemu tulizokulia na tulizosoma kama hapo,maisha bwana we acha tu!