Companero
Platinum Member
- Jul 12, 2008
- 5,604
- 1,704
Tangu ilipoanza kuitwa UEFA champions League mpaka hii leo hakuna timu imeshafungwa 4-0 kwenye fainali...ni Barcelona tu ndie mwenye rekodi hio.
Na kibano hicho cha Mbwa koko ndani ya uzio walikipokea toka kwa Baba la mafanikio ya Soka ulimwenguni klabu ya AC Milan.
Kibano hicho kilikamilika ndani ya dakika 56 tu pale Malcel Desailly alipopigilia msumali wa mwisho...
Magoli mengine ya Rossomilan yalifungwa na Savicevic na Danielle Masaro alietupia kamba mbili.
Forza Milan
Mla mla leo, mla jana kala nini? Rejea:
BBC Sport - Football - Italian Serie A Table