Wazee wa millan nataka niwaulize ni kwanini Marco Van basteen hayumo kwenye ITALIAN FOOTBALL HALL OF FAME DEL CACIO wakati huo Ronaldo yumo?Torino vs intermilan mechi nzuri sana hii, dakika ya 64 matokeo ni 2-2
nitakujibu kesho mkuu, nipo nafuatilia mechi na genoa hapaWazee wa millan nataka niwaulize ni kwanini Marco Van basteen hayumo kwenye ITALIAN FOOTBALL HALL OF FAME DEL CACIO wakati huo Ronaldo yumo?
Mkuu Gang Chomba salama lakini? Huwa sikuelewi pale unaposemaga Milan ndio baba wa mafanikio europa! Kwa kati ya barcelona na milan nani anamafamikio zaidi inapokuja issue ya vikombe?
Labda mimi ndio sielewi.
Mkuu Gang Chomba salama lakini? Huwa sikuelewi pale unaposemaga Milan ndio baba wa mafanikio europa! Kwa kati ya barcelona na milan nani anamafamikio zaidi inapokuja issue ya vikombe?
Labda mimi ndio sielewi.
Suso has injured his flexor once again and will be out for at least two weeks.
and this is the official statements
majeruhi yanatuumiza sana mkuu, ocampo ana mguu wa mpira huyu mtoto comb yake na deloufeu ipo vizuri sana.Kwa hili balaa la Deloufeu na Ocampo, huwa nawaza sana ingekuwa vipi wangeungana na Bonaventura na Susso...
Dah
vipi mkuu kwema? nadhani umechanganya swali lako, van basten yupo kwenye IFHFDC toka 2012Wazee wa millan nataka niwaulize ni kwanini Marco Van basteen hayumo kwenye ITALIAN FOOTBALL HALL OF FAME DEL CACIO wakati huo Ronaldo yumo?
Kwema, basi itakuwa niliangalia vibaya.vipi mkuu kwema? nadhani umechanganya swali lako, van basten yupo kwenye IFHFDC toka 2012
Usichanganye domestic trophy na international trophy...
Piga hesabu ya makombe ambayo watu hawa wamekutana ama wanaweza kukutana, hapa namaanisha champions league, uefa cup, uefa super cup na club world champions
Hivi kweli wewe unadhani AC Millan kama ile ya mwaka 2003 hadi 2007 itapata kujirudia tena?