Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,301
- 4,681
- Thread starter
- #2,661
Gang Chomba nipandishie uzi wetu wa juve Maana upo mbali sana. Jana nilifurahi sana kuona wachezaji wa basketball wakimfuata nabii Gaucho ili wapige nae picha. Nilisikia kwa masikio yangu Durrant akiwaambia wenzake he is the prophet of football. All time super star. Daaah, it's amazing. Kama kawaida ya manabii huwa hawana makundi wala kujisikia kujifanya yy tim kiba au Tim mond. Big up Gaucho.