Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 374,705 Reaction score 868,004 Jul 26, 2026 Thread starter #41 Andromeda Galaxy said: Dah!!! Ugonjwa mbaya sana huu, hali niliyomwona nayo ilikuwa inatisha hakika Click to expand... Ndio maana nasema ni ugonjwa hatari kuliko ukimwi
Andromeda Galaxy said: Dah!!! Ugonjwa mbaya sana huu, hali niliyomwona nayo ilikuwa inatisha hakika Click to expand... Ndio maana nasema ni ugonjwa hatari kuliko ukimwi
Bulamba JF-Expert Member Joined Sep 17, 2011 Posts 14,261 Reaction score 13,565 Jul 26, 2026 #42 Mshana Jr said: Ndio maana nasema ni ugonjwa hatari kuliko ukimwi Click to expand... gharama ya chanjo yake na pa kuipata??
Mshana Jr said: Ndio maana nasema ni ugonjwa hatari kuliko ukimwi Click to expand... gharama ya chanjo yake na pa kuipata??
Andromeda Galaxy JF-Expert Member Joined Feb 7, 2025 Posts 9,242 Reaction score 15,548 Jul 27, 2026 #43 Mshana Jr said: Ndio maana nasema ni ugonjwa hatari kuliko ukimwi Click to expand... Sahihi
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 177,556 Reaction score 195,341 Jul 29, 2026 #44 Ahsante kwa tahadhari... Cc: Mahondaw
digba sowey JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 10,450 Reaction score 23,148 Jul 29, 2026 #45 Bulamba said: gharama ya chanjo yake na pa kuipata?? Click to expand... Gharama ni sh 10,000/= ,inapatikana zahanati,kituo cha afya au Hospital za wilaya na kuanzia hapo
Bulamba said: gharama ya chanjo yake na pa kuipata?? Click to expand... Gharama ni sh 10,000/= ,inapatikana zahanati,kituo cha afya au Hospital za wilaya na kuanzia hapo