Eshy m.s
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 2,926
- 1,561
Hahahaaaa
Last edited by a moderator:
Tena unikome. miaka 75 nlikuwa nayo mwaka juzi.
Labeka bibie..
Labeka bibie..
Najisikia raha kutamka hili jina
Hahaa hupitwiii
Mie tena ni wa kupitwa?Wakati mie ndio mpambe na nitasimamia harusi yenu na sosoliso
Mwenyezi Mungu ataleta kheri Honey Faith..