Hunishindi mimi. Njoo unichukue unifungie chumbani. Sitaki macho yangu yaangalie binadamu mwingine mwenye jinsia ya kike. Umezaliwa kwa ajili yangu.
Ha ha ha.. Afadhali useme wewe Honey Faith... Wanasumbuaga sana na vimilioni vyao hawa lol..
Hahaaa maneno ya mkosaji
Unasemaje wee binti?Kuna kipindi nilikuwa ninamlisha huyo kibabu wako kuanzia chai mpaka dinner
Maneno ya mkosaji hayooo
Nimezaliwa kwaajili yako acha nikupe unachostahili,,
Unasemaje wee binti?Kuna kipindi nilikuwa ninamlisha huyo kibabu wako kuanzia chai mpaka dinner
Kiulize hicho kizee chako
Ahsante mama wa watoto wangu. Uwepo wako ni pumzi yangu.... Bila wewe siwezi ishi. Nipe haki yangu ya mapenzi.
Sema nini unataka mpenzi maisha yenyewe mafupi haya.. nipo kwa ajili yako kipenzi cha mieee
Ooouuuuh mahaba nipotezeeeeeh
Haina haja ya kuuliza coz matendo yanajieleza
Napotaka mimi ni hapo tu.
Nachotaka mimi ni wewe tu
Nayotaka mimi ni mahaba tu.
Eshy wangu Maua.
Sema nini unataka mpenzi maisha yenyewe mafupi haya.. nipo kwa ajili yako kipenzi cha mieee
Samahani kwa interruption nimekuja kukwambia tunaongoza kwa bao moja...bye