Mahabuba.. ubonge wangu usikutishe na ndo kwanza uwe alama ya usalama wako.. Haya si mashindano lakini ni mapigano ambayo moyo wangu umedata na kudanda juu yako..
Kwa hayo maelezo yako inamaana sosoliso ni joka la kibisa ama??
Yani mpaka sasa hivi haujamuweka mtoto kwenye line???Aaaah bwana unaniangusha
Ukiangalia mtiririko Honey Faith unaona mtoto amesha dondoka.. Tuendelee taratibu tu mwisho utasikia babu Asprin kajitundika na mti wa mnyanya..
Mbeleni nitajua zipi mbichi na zipi mbivu huu mtanange bado ni mkali ngoja tuone nani atakumiliki
Aaah wapii that is impossible.. I realy love my Asprin
Nshamilikiwa na babu mieee huyo kijana ajikatae tu ka vipi
Deep down unajua huo sio ukwel..
Nitakuwepo hapa.. kukusubiri..
Waiting for nothing hhah
Deep down unajua huo sio ukwel..
Nitakuwepo hapa.. kukusubiri..
Waiting for nothing hhah
Honey Faith mahaba yanashinda vita siku zote.. Eshy m.s anashindana na moyo wake lakini bado inakuwa ngumu.. Soon.. very soon..Naona mnaelekea pazuri. sosoliso kazana
Always nothing leads to somthing my earth Angel.. Ninaona kabisa moyo wako unavyosawijika kwa wewe kuendelea kuukataa ukweli..
Honey Faith mahaba yanashinda vita siku zote.. Eshy m.s anashindana na moyo wake lakini bado inakuwa ngumu.. Soon.. very soon..
Hahaaa kaenda kusaka pesaaa
Jumapili..?