Holiday Greetings, Tuma salaam

Holiday Greetings, Tuma salaam

Thats my wife.... Mmmmwwaaahhh kwa lips za Eshy m.s Nakupenda mpaka malaika wanaona wivu. Ukifika unishtue mahabuba wangu.

Mhhh napata raha mieee.... mahaba ninyongee chumbanii... hata hadharani... we anakujua nani... nimependwa na babuu
Cc: Honey Faith
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Wala hakulazimishi kunipenda bibie Eshy m.s.. Anajaribu kukufunua macho uone vizuri.. Usije ukaja kuulaumu moyo wako...


Honey Faith endelea kumpa darasa huyu mlimbwende.. Labda ataelewa kwa babu wanaenda wajukuu tu..

Mie nimefunuliwa kwa babu tu huko kwingine naona gizaaa.... babu Asprin nipende mieeee hadi shetani aone wivu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom