He!!!!!
Ushindwe na ulegee....
Rudi nyuma shetani
Afazali........... dah!!!
Shetani hana nafasi hapa babu ni mahaba mazito tu
Hahaa mbona unanilazimisha kumpenda sosoliso?
Wala hakulazimishi kunipenda bibie Eshy m.s.. Anajaribu kukufunua macho uone vizuri.. Usije ukaja kuulaumu moyo wako...
Honey Faith endelea kumpa darasa huyu mlimbwende.. Labda ataelewa kwa babu wanaenda wajukuu tu..
Babu mahaba unajua ni kama mzigo wa upepo vle.. hauonekani kwa macho lakini wausikia unavyokupuliza..
Mhhh Eshy s.m wajua sio lengo langu kuingilia mahaba ya mtu mie.. sema tu naona kama kuna lile somo la chemistry kati yetu.. Maana hata mie ninalipenda jinalo.. na mwenye jina pia..
Chukua kijana mwenzi uenjoy maisha hicho kibabu kitakufia bureee😛😀
Babu ananitekelezea kila nnachotaka we hujui ng'ombe hazeeki maini?
Na bado sijamaliza kitabu, vumilia maisha yangu utakula vya kwangu...
Kwa kujinafasi.
Hela yenyewe ya kiinua mgongo ndio unatamba nayo......🙁😀🙁
Hela yenyewe ya kiinua mgongo ndio unatamba nayo......🙁😀🙁
Hahaaa maneno ya mkosaji