Holiday Greetings, Tuma salaam

Asante sana kwa salamu rafiki yangu kiwatengu na mkeo shansarie pamoja na my daughters in law

Nasi tunawatakia heri ya Mwaka Mpya 2015, uwe mwaka wa mafanikio zaid kwenu
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Napenda kutuma salami zangu za mwaka mpya 2015 kwa wanna JF woootee. Nimewamiss sana sana humu. Eli79, Asprin, BAK, @FP, C6 Mr Rocky. charminglady. Filipo. marejesho. kiwatengu. shansarie. Lady doctor Arushaone, Ennie. Heaven on Earth. sosoliso. Paloma. Erickb52. Eiyer. Lily Flower. Mwita Maranya. Dark City Arabela.@ Mwanyasi. YNNAH. Mzee wa Rula blaki Woman. Chocs AshaDii.Wahaya woote, bila kuwasahau wasambaa, wabondei, wadigo na wazigua.Mawifi na mashemeji zangu.
Muwe na mwaka wenye mafanikio saana.
 
Last edited by a moderator:

Pamoja sana Arushaone
 
Last edited by a moderator:
Thanx sana KOKUTONA kwa salam za mwaka mpya. Nami nikutakie kila lililo jema mwaka 2015....!
...Be blessed!!
 
Last edited by a moderator:
Asante sana KOKUTONA na wewe uwe na mwaka mpya wenye mafanikio na baraka zake
 
Last edited by a moderator:

Bora umerudi KOKUTONA....

Watu tulikutafuta weeeeeeeee.....but nashukuru umerudi (naamini) salama!

Heri ya mwaka mpya na kwako pia!
 
Last edited by a moderator:


Sante Koku... Ulikua Bukoba nini?!
Miss uuu


Happy new year
 
Last edited by a moderator:
Kwa niaba ya mai waifu Paloma napenda kusema ahsante sana KOKUTONA kwa salamu.. Hata sie tumekumiso sana hapa..
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…