Holiday Greetings, Tuma salaam

kiwatengu nakushukuru sana kwa salam na Mu ngu akubariki sana mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Nkuashukuru sana mkuu sosoliso ,nakutakia heri ya krismass na mwaka mpya pia mkuu,msalimie Paloma ....!!
 
Last edited by a moderator:
Mungu ni mwema sana , tunasherehekea huku tumepigika kinyama , Dah ! Haya bhana , tutafika tu .
 
Haki ya nani yaani li list hili lote mi simo hapa maandamano yanahusu hahahahahahaha. Happy holidays ila usiache kujiandikisha mwakani kwa maandalizi ya october
 
Reactions: BAK
Last edited by a moderator:
Hahahahahaha lol!!!! Kwani niliyokutumia kwa njia ya posta haijafika rafiki!? Merry Christmas & Happy New Year.

Asante nilikua sijauliza watoto kama kuna mzigo wangu sasa hivi ndo wameniita na kunionyesha baraka za mwaka mpya zikakuzunguke kama mawimbi
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…