Holiday Greetings, Tuma salaam

Kwa wa2 wangu wa nguvu jf! ..holla back!!! 😀😀:😀😀😀😀😀
 
Na mie ninapenda kusema Merry Xmass kwanza kwa mama wa mapacha wangu Paloma.. kisha kwa kiwatengu na mkewe shansarie.. Arushaone na ubavu wake Lady doctor.. Erickb52 na mkewe Chocs.. Bishanga na mkewe The secretary.. Mr Rocky na ubavu wake Dena Amsi.. my small house babe Passion Lady na kibuzi chake Ruttashobolwa.. Nivea (miss u cwry)..

Pia ziwafikie dada yangu Heaven on Earth (miss u sis).. KOKUTONA.. Preta.. marejesho.. Kaizer.. Mentor.. kabanga.. Bujibuji (mzee wa mtaroni).. DEMBA.. kingasti.. Evelyn Salt.. charming lady.. Tyta.. Mamndenyi (mama chama).. Mshana Jr.. lady furahia.. Madame B (mama wa saccos kadhaa).. Asnam.. Mpwa Elli.. Baba V (anatafutwa kokote alipo).. KakaKiiza.. Ennie.. Eiyer.. Vin Diesel (umebaniwa kona gani sku hizi)..? Avanti.. Excel.. Ablessed.. Karucee.. TANMO.. Khantwe.. Nazjaz.. miss chagga.. miss neddy.. Honey Faith.. YNNAH.. @gfsown..

Special greetings kwa Mtambuzi.. The Boss.. OKW BOBAN SUNZU.. Daudi Mchambuzi.. EMT.. Matola.. Nyani Ngabu.. Babu Asprin (hondo hondo mlezi wa wana) lara 1.. ASHA dii.. Kiranga.. Crashwise.. Safari_ni_Safari.. Kaunga. Jasusi.. figganigga.. watu8.. Mwita Maranya.. Abunuas.. Ben Saanane (ugua pole kamanda).. Kongosho.. christine ibrahim.. grafani11.. Dingswayo.. zumbemkuu.. BAK.. LIKUD.. Kibanga Ampiga Mkoloni.. Ndahani.. Jerrymsigwa.. MUSSOLIN.... faiza Fox..

Bila ya kusahau uongozi mzima wa JF tukianzia kwa Mr. Melon a pia Invisible pamoja na Paw na wengine wote ambao sijawataja hapa..

Ninawatakia sikukuu njema ya mwisho wa mwaka.. Ninashukuru sana kwa kuwa nyote hapa mmekuwa ni sehemu ya maisha yangu kwa mwaka huu unaoishia..

Merry Xmass Guys & Happy New Year..
 
Last edited by a moderator:

Asante sana mkuu sosoliso na hongera kwa kuwa na mke mzuri..
 
Last edited by a moderator:
Ahsante sana Mkuu sosoliso

I wish you and all members of your family, relatives and close friends a Merry Xmas and a prosperous New Year.


 
Thanks BAK

mimi na familia yangu tunakutakia heri ya sikukuu
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
sosoliso salam zako.zimenifikia sawia mi na kichuna wangu DEMBA twakutakia sikukuu njema
 
Last edited by a moderator:

happy holidays mkuu.
Mapumziko mema ya mwisho wa mwaka
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…