Holiday Greetings, Tuma salaam

Honey Faith hebu fukua hukua page huko kabla utaona wish zangu
na kama bado naomba tena nikutakie msimu mwema wa sikukuu na mwanzo mpya wa mwaka ukawe wa amani na furaha kwako
Upende ukazidi kuendelea baina yetu MO11 azidi kupata wivu

yaani na wewe Mr Rocky unakua kama utafiti kila napokanyaga nikiinua yeye anasiliba aisee

Honey Faith achana nao hawa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…