mjukuu babu yako Asprin tu hao wengine sioAsante sana dada mwallu mie penda sana wewe my sis.Unajua nakupendaga Kaizer?Thanks kwa wish nyingi ulizonitumia.My bibi mamafacebook mie penda sana ila babu yangu halisi ni nani?.Mwaka huu na mie nitaendesha BMW kwani wema ana nini kunishinda mie?Najua utatimiza ndoto yangu Mr Rocky.Na hata kama haujaniwish mie nakuwish aibu uone wewe MO11
Khantwe kwani basi nilienda huko pm...? mamafacebook sijibu pm zake, basi njoo wewe....!Wivu...unaenda na mamaafacebook pm
Achana nae bana
Honey Faith hebu fukua hukua page huko kabla utaona wish zanguAsante sana dada mwallu mie penda sana wewe my sis.Unajua nakupendaga Kaizer?Thanks kwa wish nyingi ulizonitumia.My bibi mamafacebook mie penda sana ila babu yangu halisi ni nani?.Mwaka huu na mie nitaendesha BMW kwani wema ana nini kunishinda mie?Najua utatimiza ndoto yangu Mr Rocky.Na hata kama haujaniwish mie nakuwish aibu uone wewe MO11
Naona nimezidiwa kete hapa
Honey Faith hebu fukua hukua page huko kabla utaona wish zangu
na kama bado naomba tena nikutakie msimu mwema wa sikukuu na mwanzo mpya wa mwaka ukawe wa amani na furaha kwako
Upende ukazidi kuendelea baina yetu MO11 azidi kupata wivu
Honey Faith nini tena hapa, mbona unataka nipigwe sikukuu yote hii...Na kabanga je?
Kwani umezidiwaje...? fight back upate utakacho, chaweza kuwa kitamu, huwezi jua...
Honey Faith nini tena hapa, mbona unataka nipigwe sikukuu yote hii...
Sio kudrive peke yake utamiliki kabisa Honey Faith
Nyie mbona siwaelewi?Kwani hautoki na bibi yangu
Nimefight naona sasa nimeishiwa pumzi loh
Unafight na nani tena my wii???