Holiday Greetings, Tuma salaam

Kwa kweli nimefarijikaaaaa sana jaman nimefrah leo kwa hiz salam za wana jf wenzangu nimezipokea kwa mikono miwili na moyo mkunjufu mkuu KikulachoChako
 
Last edited by a moderator:

mtani naomba hizi salam zije na ndoo ya mbege ili nizipokee kwa mikono miwili.. mkuu mshana jr ye ametoa udhuru..

asante kwa kunikumbuka my dear.. nami nachukua this opportunity kukutakia festival njema mtani wangu.. mungu ni mwema kutuvusha 2014 salama.. tuendelee kuombeana kwani siku bado nyingi..
 
Last edited by a moderator:
Mtani kuhusu mbege usikonde nimeshakuagizia moja kwa moja kutoka kishumundu......ikifika tu nitakutumia kwa PM...sitaki kukupa hapa hadharani maana najua kuna watu waroho sana wanaweza wakakudoea...mtani....
 
asante sana mtani
 
thanks much mkuu kwa kunikumbuka,ubarikiwe.
Nakutakia pia sikukuu njema mkuu,ila kunywa pombe kiasi x-mass kama unatumia.
 
nashukuru mtani wangu wa ukweli,,, nakuombea msimu huu wa sikukuu uibiwe hela ulale mwanzo mwisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…