Hold on a minute! Mtu na shemeji yake

Ndiyo maana Mama Salma anakwenda Washington wakati Muungwana anakwenda Beijing, wapi na wapi?
 

JK kweli mtoto wa mjini, katumia "hela" za Rostam kuingia ikulu na dada yake kaoa he he he!!!

Binti ya Lowassa mkubwa ameolewa na mtoto wa nani? Yule mdogo nilisikia amechumbiwa na mtoto wa Severe.

Je binti wa Chenge naye amechumbiwa na mtoto wa nani?
 
mmh, wacha miye nikae kimya tu ila huko mbele ya safari mtu akifa ndio mtaona watu watakavyokamilia huo urithi! Hawa wazee wametapakaza mbegu zao utadhani mpanzi!

asanteni.
 
Kweli CCM kuna vioja.Kwa staili hii ya kuoana mumo kwa mumo hakuna atakayeweza kutoa maamuzi yanayolinda maslahi ya Taifa! maamuzi mengi yatalinda undugu zaidi kuliko maslahi ya Taifa letu.
Kwa mimi naona list ni ndefu...haiishi hapo kwa JK na mke wake wa kishiraz! Mmesahau ya Msekwa na mkewe? Meghji na mumewe? Sitta na mkewe? Mwinyi na salma ali? Ben na mume mwenza Mramba?
Kweli nakubaliana na wale waliosema ukistaajabu ya Musa ...

-Wembe
 
Wanabodi,
Kama tulivyo siku zote habari nzito huanzia hapa.. Nime confirm habari hizi kwa wazee watatu wazito...
Yap jamaa alichukua dada yake na nanihii kabla hata ya Uchaguzi akitayarishwa kuwa FL kwani lugha anapanda vizuri kaishi muda mrefu UK na wasemavyo wenmyewe representable!... mnnnnh!
Lakini Bi mkubwa mwenyewe alishtushwa mapema akaweka majeshi yakena kifupi kashinda kwani hadi sasa ndiy FL...
Kilichosibu huyu bibie asijulikane hadi leo ni ile hofu ya scandal ya kwanza kuwa nanihiii (Bwana shemeji) ndiye mfadhili mkubwa wa mgombea ndani na nje ya chama..aliyetuingiza ktk makanyaboya mengi ya madini including Bulyanhulu!...
Sasa limeisha ibuka sijui kuna haja gani ya Muungwana kuficha ukweli huu kwani tumeshapata uhakika kwa nini anashindwa kuchukua hatua kali dhidi ya baadhi viongozi mafisadi...
Well, imeshatoka hiyo!
Hivi, jamani maisha ya kiongozi wetu (Personal life) haiwezi kuwa na utata pindi kiongozi huyo anapoficha ukweli kwa wananchi?
 
Duuh! Watu wanakula popcorn, mi ngoja nitoe maharage niliyalaza kwenye firiji, huwa ni matamu siku ya pili. Nitachovya na mkate.
 
Mkjj,if Kikwete's son ask ua daughter's(lets say u have 1)hand in marriage,will u accept?

What will the public opinion be afterwards,if u accept,And then b'se of ua abilities n compentence,the president appoints u as a minister to replace AC?
 
Wow, hadithi njoo, uongo njoo utamu kolea.. hii hadithi ya babu ilikua tamu nasikitika imeisha! mhh...makubwa haya Tz kumbe JK ana wake wawili nilikua sijui nyeti hizi... haya huyo mke asicost uchumi wetu tafadhali asichanganye penzi na hatima ya nchi! Kwa maneno mengine, asitumie pesa za nchi kwa raha zake.
 
Hii hadithi kwa vile ilitokea ufukweni kwa bahari ya Hindi inabidi ivuke bahari na kule visiwani jee ushemegi wa Mansour na Karume.

Mansour kutoka Meneja wa Mgahawa hadi Naibu Waziri na sasa ni Waziri Kamili wa Ujenzi majumba yote ya Mji Mkongwe hati miliki zake anazo Mama Shadiya.
 

Mwanakijiji,

Umenikumbusha ndoto yangu ya mwezi mmoja uliopita ya kuwa kuna wasaliti kati yetu humu JF!
 

If you don't know, now you know....

This is scary! Mzee ulipata maono kama Yohana pale Patmos? maana safari ya harakati inaanza kupatwa na maono na wewe si wa kwanza au pekee. Wengine mpaka vichwa vinauma maana hata kusahihisha au kuondoa kasoro inakuwa vigumu kupigana na "wajenzi"!
 
mzee wangu; kuna vitu vingine nikisema ni maono watu wanaweza kunidhihaki; ni baraka na laana.

Ukiangalia nililoandika leo kwenye Tanzania Daima.... na lililotokea Uganda, naamini kuna linalojiandaa kutokea Tanzania.. ndio maana mwenzio nimeanza kuhisi wakati wa kustaafu umekaribia sana.
 
Mkjj,if Kikwete's son ask ua daughter's(lets say u have 1)hand in marriage,will u accept?

Ninao wawili.. and the answer is heeeell to the NO!

[/quote]What will the public opinion be afterwards,if u accept,And then b'se of ua abilities n compentence,the president appoints u as a minister to replace AC?[/QUOTE]

I don't have to worry about public opinion kwani haitatokea..
 
Mkjj, usitutabirie maafa Tz we had enough na bado tunauguza vidonda visivyopona manake vikikaribia kupona kuna lingine.
 
mwnkjj can u put that bandiko here coz silioni kwenye website ya tanzania daima au liko kwenye hardcopy tu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…