zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Nyumba gani wamepanga? Ile ilishanunuliwa toka 2012 na nyaraka ziliwekwa humu na Tumaini makene mwenyewe.Tukiwa tunawaita nyumbu msiwe mnakasirika Mana mpo Kama misukule kwa heka zote izo bado mnapanga Tena nyumba ambayo ata raia wa kawaida anaweza kuimudu Yan mnashindwa hata ofis na baadh ya vyama vya kinamama vya sakos
Sent using Jamii Forums mobile app
Hvi unajitambua? Sasa ww umeambiwa umetumiwa 700M kutoka Japan sasa unathibitishaje wakati hujawahi?Kwann mbowe asilete nyaraka ili kuwa prove wrong wanao sema ni mwiz Kama tuhuma Sio za kweli aje na ushaid hela amezitumia vip akiweza nahamia chadema [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumuamini CAG aliyetoa hati safi sio mtu anayeropoka bila nyaraka.Ni hatari sana mkuu sijui tumuamini nani sasa hii nchi hii.
Nahisi kuna laana fulani tunayo sio bure.
hivi hizi tuhuma & kashfa ni za kweli au?
Nyumba gani wamepanga? Ile ilishanunuliwa toka 2012 na nyaraka ziliwekwa humu na Tumaini makene mwenyewe.
Jikite kwenye hoja? Mie sio nyumbu bali nasimamia objectivity. Sasa waziri mzima anaropoka bila ushahidi alafu vijana mnashabikia tu.
Ssa Deni hewa la 50M linarekodiwaje kwenye Financial statements? Interest rate imekua detetmined vipi? CAG anakagua deni hewa alafu atoe hati safi? Hvi waziri anakosaje hta Nyaraka moja ya kuthubitisha Mbowe alipokea 700m eti anasema tumfuate Gwajima anajua!!
Ndio maana wakenya wanatudharau sana, mijitu kushabikia hta hamuwezi kuhoji
hivi hizi tuhuma & kashfa ni za kweli au?
Mkuu zitto junior, nakubalina nawe kuwa na hawa wabunge nao walete humu JF ushahidi.Mie nipo mkuu Nipe hta hoja moja tu hapo!!
Hta video hujaangalia unakurupuka tu ushabiki.
JF ya zamani watu wali rely facts sahvi rumour tu inahalalishwa.
Hvi Mbowe ajichotee 50 m kila mwezi ila CAG haoni? Kwanini asije hapa na nakala ya huo mkataba wa kulipwa 50m? Yye si waziri anaupata kwa barua ya polisi tu ama Financial intelligence unit!!
Duh kazi sana
hizo ni kashfa & shutuma kubwa sana kwa mwenyekiti & CDM kwa ujumla. Ila ukweli utajulikana tuu.Kama Sio kweli mwenyekit aje akanushe na vithibitisko Tena atakua kamkomesha mwita waitara na walio mtuma sio akae amezee tu Ila makamanda ndio kusema nyie ni mikia au mnafungu lenu umo Mana mpo Kama vipofu hamuon chochote ofis ya chama kikubwa inashindwa na nyumba yangu ninayo jenga kwa mshahara wa laki 7kwa mwezi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani report ya CAG inasemaje?
Lakini mbona hakitoi harufu?
Mbowe anakula za uso huu utawala , yaan ni non stop, mpak uchaguz ukafike atabakiwa na mbunge mmojaNdugu zangu,
Kitabu kitakatifu cha Biblia kinasema, "Nanyi mtaijua kweli, nayo kweli itawaweka huru" (Yohana 8:32). Nitatoa comments zangu kesho kuhusu video hii, ila nakuhusihi kama unakifurushi cha data, tenga dakika 30 hivi kwa ajili ya taifa lako.
Haya mambo nilikuwa nayasikiaga tu, kwa haya aliyoyasema Waitara, nayapa uhakika wa 95%. Nadhani, wakati sasa umefika kwa wanachama na wapenzi wa Chadema kuamka kutoka usingizini, japo it is too late uchanguzi wa viongozi umepita, jamaa huyu (Mbowe) wasingeendelea kumchekelea.
Kama tuhuma hizi ni za uongo, basi Mbowe ajitokeze hadharani azikanushe, bila kuzikanusha, zitakuwa tuhuma za ukweli. Waitara has finally shed a light to the public, now it is time to act, and not to remain silence.
Nawasilisha
Link ya video hiyo
Usiku mwema,
Kejuu