Pancras Suday
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 8,144
- 3,848
Hata kama hoja ni ya makinda we dont care, hatuangalii rangi ya paka bt uwezo wake wa kukamata panya,,CCM wamesaini wangapi hapo mama???ingekuwa ni hoja ya bunge tungepata sahihi 245+,wale wa CCM waliokuwa wanatoka mapovu wako wapi???chezea na brain za vijana wewe,ukitoka povu tunakupa karatasi umwage sahihi,,,,,Kilango wapi?Ole Sendeka wapi???
I mis some point here.......what you was trying to say boy!!Kuna shabiki mmoja wa Chadema anakaa maeneo ya Kimara anawambia jamaa zake kuwa Zitto katumwa na Slaa kupeleka hiyo hoja.
Zitto is an independent organ ndani ya CDM! Ana msimamo na anajua anachokifanya. Yupo tofauti kabisa kimaamuzi na wabunge wengine wa CDM. Ndio maana hata njaa za vihela vya posho hana!!Utasemaje hoja ya Zitto sio ya CHADEMA wakati Zitto mwenyewe ni CHADEMA. Kwenye hili hata Lusinde anakuzidi
Mbona unaandika kiingereza kama unaongea kiswahili?I mis some point here.......what you was trying to say boy!!
Kwani zitto ana signature ngapi hapo?na wewe unataka kutuaminisha wote hao ni wabunge wa chadema au
Zitto is an independent organ ndani ya CDM! Ana msimamo na anajua anachokifanya. Yupo tofauti kabisa kimaamuzi na wabunge wengine wa CDM. Ndio maana hata njaa za vihela vya posho hana!!
Unaelewa maana ya system? Part ya system haiwezi kuwa system! Hope kama wewe ni kipaji maalum kama mimi utakuwa umenielewa!Hapo kwenye RED umeshakiri kwa maneno yako kwamba Zitto yupo ndani ya CHADEMA. Sasa mbona unabisha na kujijibu mwenyewe.
Hoja sio ya CHADEMA lakini Zitto ni wa CHADEMA. Mmmh, Hapa sijakuelewa kabisa
Unaelewa maana ya system? Part ya system haiwezi kuwa system! Hope kama wewe ni kipaji maalum kama mimi utakuwa umenielewa!
Duh! Ngoja nikuache, hueleweki, nishakuona kilaza tu. Hatupo kwenye level moja.Hivi tukiondoa System. Part ya system itakuwa wapi?
Mbona unaandika kiingereza kama unaongea kiswahili?