Hoja ya upinzani kwa sasa ni ipi hasa?

Hoja ya upinzani kwa sasa ni ipi hasa?

gsu

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2014
Posts
3,461
Reaction score
712
Tangu kuchaguliwa kwa Rais wa awamu ya tano wa jamhuri ya muungano wa tanzania Dr John Pombe Magufuli upinzania umepotea kabisa katika siasa za ujengaji wa hoja.Kwa mda mrefu sasa sijasikia siasa za hoja ambazo tulitegemea wapinzania wazijenge kwa lengo la kuipa changamoto serikali ya Rais magufuli lakini kitu kama hicho hakipo yawezekana kisitokee.

Kitu ambacho nakiona yawezekana kabisa ikawa mwisho wa upinzani uchwara ambao wamezoea kufanya siasa za kudandia na kusubiri watumishi wa serikali wafanye makosa halafu wao ndiyo wapate hoja kitu ambacho serikali ya magufuli haiwezi kuruhusu kitokee.

Tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu sijasikia wala kuona upinzania ukifanya siasa za kujenga hoja kukemea ufisadi pamoja na mambo ya rushwa jambo ambalo Rais Magufuli analifanya yeye mwenyewe na kufanya upinzani ukose kabisa hoja.

Kama wapinzania hawatajifunza siasa za hoja za kuwasaidia watanzania badala yake wakaendelea kujikita kwenye siasa za matukio ni wazi kabisa wanakwenda kupotea kwenye siasa wakubali wakatae lakini ndiyo ukweli.

Mpinzani gani anaweza kusimama leo na kutupa mipango yake thabiti ya namna gani amepanga kuliendeleza Taifa letu kwa hoja mifano na mpango mkakati wa namna ya kutekeleza aliyopanga?
 
Una degree ya diploma and certificate in ujinga.
 
Tangu kuchaguliwa kwa Rais wa awamu ya tano wa jamhuri ya muungano wa tanzania dr john pombe magufuli upinzania umepotea kabisa katika siasa za ujengaji wa hoja.

Kwa mda mrefu sasa sijasikia siasa za hoja ambazo tulitegemea wapinzania wazijenge kwa lengo la kuipa changamoto serikali ya Rais magufuli lakini kitu kama hicho hakipo yawezekana kisitokee.

kitu ambacho nakiona yawezekana kabisa ikawa mwisho wa upinzani uchwara ambao wamezoea kufanya siasa za kudandia na kusubiri watumishi wa serikali wafanye makosa halafu wao ndiyo wapate hoja kitu ambacho serikali ya magufuli haiwezi kuruhusu kitokee.

Tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu sijasikia wala kuona upinzania ukifanya siasa za kujenga hoja kukemea ufisadi pamoja na mambo ya rushwa jambo ambalo Rais magufuli analifanya yeye mwenyewe na kufanya upinzani ukose kabisa hoja.

kama wapinzania hawatajifunza siasa za hoja za kuwasaidia watanzania badala yake wakaendelea kujikita kwenye siasa za matukio ni wazi kabisa wanakwenda kupotea kwenye siasa wakubali wakatae lakini ndiyo ukweli.

Mpinzani gani anaweza kusimama leo na kutupa mipango yake thabiti ya namna gani amepanga kuliendeleza Taifa letu kwa hoja mifano na mpango mkakati wa namna ya kutekeleza aliyopanga?

Sasa hivi Mbowe na wenzake hawana hoja ndio wameanzisha dili la kulumbana na polisi tu.
 
ufisadi ambao magu atashindwa kuufichua na kuwafunga waliompa tafu kua alipo coz hawez kufanya hvyo pmj na kuupigia kelele mfumo wetu wa kiuchumi wa soko huria ambao hautupeleki kokote kma nchi inayotka kujikwamua kiuchumi
 
Hoja ni ile ile, tunataka mabadiliko kupitia katiba mpya!
 
ufisadi ambao magu atashindwa kuufichua na kuwafunga waliompa tafu kua alipo coz hawez kufanya hvyo pmj na kuupigia kelele mfumo wetu wa kiuchumi wa soko huria ambao hautupeleki kokote kma nchi inayotka kujikwamua kiuchumi

Vp ufisadi wa lowasa ukiwa mtaufichua sio
 
msijidanganye kma mapimbi hoja haziishi ktk nchi yenye wimbi la matatizo kwa hyo kwa akili zenu mnadhani raic wetu ndo atamaliza kila kitu acheni kua wajinga nyie
 
Hoja yetu sasa hivi ni kifo cha kamanda wetu Mawazo
 
Last edited by a moderator:
leo haujasoma magazeti ccm walipiga tirion moja kwenye uuzwaji wa NBC,katiba mpya(katiba ya warioba) escrow,mbona hii nchi chafu hivi unakosaje hoja..pumzi imeanza kukata nini wanaccm
 
Una degree and diploma in certificate ya ujinga. Upinzani ni no nyingine usione kimya, time will tell.
 
We subiri uone mambo,hata siku 100 hazijaisha unataka hoja za kumpinga maguful?
 
msijidanganye kma mapimbi hoja haziishi ktk nchi yenye wimbi la matatizo kwa hyo kwa akili zenu mnadhani raic wetu ndo atamaliza kila kitu acheni kua wajinga nyie

Kilichoulizwa ni kwamba kwenye hizi siku 26 baada ya kuapishwa na zile siku 14 baada ya kuapishwa. Upinzani umekaa kimya sana. Tulikuwa tumezoea kuona headlines mbali mbali. Lakini sasa kina headline ni Magufuli , Majaliwa na Sefue.

Wanavyokaa kimya sana ndio point za kina Prof. Mkumbo zinakuwa na maana kwa walisema kama upinzani ni uchwara.

Hoja tu.
 
Back
Top Bottom