Hilo ni wazo zuri , Haya Raisi Magufuli na Balozi Ombeni Sefue "Wenye nchi, wananchi, wazalendo" wanataka hotline ili wawaoneshe majipu yalipo.Taarifa haziwezi kuwekwa hapa. Serikali itatakiwa itengeneze hotline ya kuwa watu wawe wana ripoti.
Tutegemee baada ya siku 3 mpaka 7 hiyo hotline itakuwa imefunguliwa na atakaewekwa hapo kupokea simu za wananchi atakuwa ni mutu inaendana na kasi ya Pombe ili taarifa atakazozipokea asiziwekee makufuli.
Au Magufuli ajiwekee muda kama Late Hugo Chavez ili wananchi wawe wanampigia na kutoa dukuduku zao, kuelezea shida zao na kutoa malalamiko yao kuhusu utendaji wa watumishi wa umma au hata ushauri.
Last edited by a moderator: