Hoja ya upinzani kwa sasa ni ipi hasa?

Hoja ya upinzani kwa sasa ni ipi hasa?

leo haujasoma magazeti ccm walipiga tirion moja kwenye uuzwaji wa NBC,katiba mpya(katiba ya warioba) escrow,mbona hii nchi chafu hivi unakosaje hoja..pumzi imeanza kukata nini wanaccm

Hizo ni hoja za Zitto, mtoa mada alikuwa anaanisha UKAWA. Zityo ndio amekuwa active kwenye hizi wiki 2 japo msaliti.
 
Kilichoulizwa ni kwamba kwenye hizi siku 26 baada ya kuapishwa na zile siku 14 baada ya kuapishwa. Upinzani umekaa kimya sana. Tulikuwa tumezoea kuona headlines mbali mbali. Lakini sasa kina headline ni Magufuli , Majaliwa na Sefue.

Wanavyokaa kimya sana ndio point za kina Prof. Mkumbo zinakuwa na maana kwa walisema kama upinzani ni uchwara.

Hoja tu.

Tutakua hatuwatendei haki kwa muda huu
 
Nashangaa.....sana wanaoshangaa upinzani hoja zipo nyingi nchii hii ni maskin...hakuna maji ,,huduma za afya., watu wanakufa njaa....mfumko wa bei......na wez wengi wa ccm.......
 
Tutakua hatuwatendei haki kwa muda huu

Kama ni hivyo mtakuwa mnatukosea wananchi.
Inawezakana kwenye haya ambayo Magufuli anayaamuru ya athari mbeleni. Ukimya wenu unaonesha kama mmeyakubali afanyayo. Je huko mbeleni tuwalaumu kwa ukimya mliokaa mwanzoni??
 
Tangu kuchaguliwa kwa Rais wa awamu ya tano wa jamhuri ya muungano wa tanzania Dr John Pombe Magufuli upinzania umepotea kabisa katika siasa za ujengaji wa hoja.Kwa mda mrefu sasa sijasikia siasa za hoja ambazo tulitegemea wapinzania wazijenge kwa lengo la kuipa changamoto serikali ya Rais magufuli lakini kitu kama hicho hakipo yawezekana kisitokee.

Kitu ambacho nakiona yawezekana kabisa ikawa mwisho wa upinzani uchwara ambao wamezoea kufanya siasa za kudandia na kusubiri watumishi wa serikali wafanye makosa halafu wao ndiyo wapate hoja kitu ambacho serikali ya magufuli haiwezi kuruhusu kitokee.

Tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu sijasikia wala kuona upinzania ukifanya siasa za kujenga hoja kukemea ufisadi pamoja na mambo ya rushwa jambo ambalo Rais Magufuli analifanya yeye mwenyewe na kufanya upinzani ukose kabisa hoja.

Kama wapinzania hawatajifunza siasa za hoja za kuwasaidia watanzania badala yake wakaendelea kujikita kwenye siasa za matukio ni wazi kabisa wanakwenda kupotea kwenye siasa wakubali wakatae lakini ndiyo ukweli.

Mpinzani gani anaweza kusimama leo na kutupa mipango yake thabiti ya namna gani amepanga kuliendeleza Taifa letu kwa hoja mifano na mpango mkakati wa namna ya kutekeleza aliyopanga?

Hoja zipo nyingi san...uzwaji holela wa nyumva za serekali,, ESCROW,, MEREMETA,,, KIWIRA,,, TWIGA KUPANDA NDEGE,,, EPA...... KAGODA,,, UDA,,,,
 
hoja zipo nyingi, labda wanajipanga kuja na muswada wa kufuta siting alowance za wabunge.
subiri muda bado
 
Nashangaa.....sana wanaoshangaa upinzani hoja zipo nyingi nchii hii ni maskin...hakuna maji ,,huduma za afya., watu wanakufa njaa....mfumko wa bei......na wez wengi wa ccm.......

Sasa why wawe kimya??
 
Hoja zipo nyingi san...uzwaji holela wa nyumva za serekali,, ESCROW,, MEREMETA,,, KIWIRA,,, TWIGA KUPANDA NDEGE,,, EPA...... KAGODA,,, UDA,,,,
Kumleta balali, kumtoa jela babu seya...
 
Tangu kuchaguliwa kwa Rais wa awamu ya tano wa jamhuri ya muungano wa tanzania Dr John Pombe Magufuli upinzania umepotea kabisa katika siasa za ujengaji wa hoja.Kwa mda mrefu sasa sijasikia siasa za hoja ambazo tulitegemea wapinzania wazijenge kwa lengo la kuipa changamoto serikali ya Rais magufuli lakini kitu kama hicho hakipo yawezekana kisitokee.

Kitu ambacho nakiona yawezekana kabisa ikawa mwisho wa upinzani uchwara ambao wamezoea kufanya siasa za kudandia na kusubiri watumishi wa serikali wafanye makosa halafu wao ndiyo wapate hoja kitu ambacho serikali ya magufuli haiwezi kuruhusu kitokee.

Tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu sijasikia wala kuona upinzania ukifanya siasa za kujenga hoja kukemea ufisadi pamoja na mambo ya rushwa jambo ambalo Rais Magufuli analifanya yeye mwenyewe na kufanya upinzani ukose kabisa hoja.

Kama wapinzania hawatajifunza siasa za hoja za kuwasaidia watanzania badala yake wakaendelea kujikita kwenye siasa za matukio ni wazi kabisa wanakwenda kupotea kwenye siasa wakubali wakatae lakini ndiyo ukweli.

Mpinzani gani anaweza kusimama leo na kutupa mipango yake thabiti ya namna gani amepanga kuliendeleza Taifa letu kwa hoja mifano na mpango mkakati wa namna ya kutekeleza aliyopanga?

Nadhani hili jukwaa mnalitumia vibaya. Kuna watu hawatakiwi kuingia huku kwasababu wanapoteza maana na malengo ya hili jukwaa.

Sidhani kama wapinzani wanafanya kazi ya kuwahujumu watanzania. Wapinzani wako ili kusimamia serekali ya chama tawala iwajibike kwa wananchi ipasavyo.

Ukiangalia kwa umakini kama wewe sio mshabiki utagundua kwamba anachokifanya Raisi wetu kipenzi ndo walichokuwa wanakipigia kelele wapinzani siku zote lakini serekali iliyo pita ilikuwa week sana na ilikuwa haielewi wapinzani walikuwa wanasema nini.

Ukiangalia utaona wapinzani wako kimya kwasababu Magufuli ni msikivu na anakubali kukosolewa na kupokea ushauri wa wapinzani/watu wengine.

Lakini cha ajabu sioni jumuiya zetu kama vile uvccm na nyingine zikitoa matamko ya kumpongeza mtukufu Raisi wetu kama ilivyo kuwa kwa awamu iliyo pita.

Aubado tuko kwenye siasa za mtandao?
 
JPM Anatekeleza sera za ukawa , kama anafanya mambo kwa maslahi ya umma hatuna haja ya kukosoa. kilichobaki kwa ukawa ni kusisitiza uchaguzi ujao ufanyike chini ya katiba mpya. Tuweke misingi imara ya kidemokrasia kwa faida ya vizazi vijavyo.
 
Nadhani hili jukwaa mnalitumia vibaya. Kuna watu hawatakiwi kuingia huku kwasababu wanapoteza maana na malengo ya hili jukwaa.

Sidhani kama wapinzani wanafanya kazi ya kuwahujumu watanzania. Wapinzani wako ili kusimamia serekali ya chama tawala iwajibike kwa wananchi ipasavyo.

Ukiangalia kwa umakini kama wewe sio mshabiki utagundua kwamba anachokifanya Raisi wetu kipenzi ndo walichokuwa wanakipigia kelele wapinzani siku zote lakini serekali iliyo pita ilikuwa week sana na ilikuwa haielewi wapinzani walikuwa wanasema nini.

Ukiangalia utaona wapinzani wako kimya kwasababu Magufuli ni msikivu na anakubali kukosolewa na kupokea ushauri wa wapinzani/watu wengine.

Lakini cha ajabu sioni jumuiya zetu kama vile uvccm na nyingine zikitoa matamko ya kumpongeza mtukufu Raisi wetu kama ilivyo kuwa kwa awamu iliyo pita.

Aubado tuko kwenye siasa za mtandao?

Kuna point umeongeleea kuhusu usikiivu.

Huoni kama huu ulikuwa ndio wakati muafaka kwa Upinzani kuipelekesha serikali??
Usisahau kama 40% ya popolation haikumpigia kura na yeye analielewa hilo kwa hiyo hawezi kuweka masikio pamba kwenye hoja zao.

Hapa Ukawa wanatakiwa wafute vumbi warudi ulingoni kuendelea na mapambano fursa zipo nyingi, Serikali ina uozo mwingi.
 
Kweli kabisa, wako wana kusanya nguvu na naamini ishu ya escrow itarudi bungeni ili tuwajue wale wote waliobeba pesa na visalfeti pale stanbic .
 
Tangu kuchaguliwa kwa Rais wa awamu ya tano wa jamhuri ya muungano wa tanzania Dr John Pombe Magufuli upinzania umepotea kabisa katika siasa za ujengaji wa hoja.Kwa mda mrefu sasa sijasikia siasa za hoja ambazo tulitegemea wapinzania wazijenge kwa lengo la kuipa changamoto serikali ya Rais magufuli lakini kitu kama hicho hakipo yawezekana kisitokee.

Kitu ambacho nakiona yawezekana kabisa ikawa mwisho wa upinzani uchwara ambao wamezoea kufanya siasa za kudandia na kusubiri watumishi wa serikali wafanye makosa halafu wao ndiyo wapate hoja kitu ambacho serikali ya magufuli haiwezi kuruhusu kitokee.

Tangu kumalizika kwa uchaguzi mkuu sijasikia wala kuona upinzania ukifanya siasa za kujenga hoja kukemea ufisadi pamoja na mambo ya rushwa jambo ambalo Rais Magufuli analifanya yeye mwenyewe na kufanya upinzani ukose kabisa hoja.

Kama wapinzania hawatajifunza siasa za hoja za kuwasaidia watanzania badala yake wakaendelea kujikita kwenye siasa za matukio ni wazi kabisa wanakwenda kupotea kwenye siasa wakubali wakatae lakini ndiyo ukweli.

Mpinzani gani anaweza kusimama leo na kutupa mipango yake thabiti ya namna gani amepanga kuliendeleza Taifa letu kwa hoja mifano na mpango mkakati wa namna ya kutekeleza aliyopanga?
Kwa kuwa mambo mengi anayotekeleza Mhe. Magufuli ni yale ambayo wapinzani wamekuwa wakiyapigia kelele miaka yote, sithani kama watanpinga ila kazi yao itakuwa ni kuhahakisha kuwa yanatekelezwa kwa viwango stahili. Upinzani sio kupinga kila kitu bali iwe ni pamoja na kushauri namna bora ya utekelezaji.
 
Kweli kabisa, wako wana kusanya nguvu na naamini ishu ya escrow itarudi bungeni ili tuwajue wale wote waliobeba pesa na visalfeti pale stanbic .

Yaani hiyo ndio fimbo ya kwanza. Kisha warudi kwenye Epa, Rada, Meremeta kagoda na vingine.

Kama ume notice serikali ya sasa sio ya kijeuri kama mwanzoni. Wamekuwa wasikiivu sasa hivi.

Wewe umuoni ZZK anavyoibua hoja zake kidogo kidogo.

Huu ndio wakati.
 
Kwa kuwa mambo mengi anayotekeleza Mhe. Magufuli ni yale ambayo wapinzani wamekuwa wakiyapigia kelele miaka yote, sithani kama watanpinga ila kazi yao itakuwa ni kuhahakisha kuwa yanatekelezwa kwa viwango stahili. Upinzani sio kupinga kila kitu bali iwe ni pamoja na kushauri namna bora ya utekelezaji.

Umeongea vizuri kabisa.
Ila wapinzani wapande majukwaani kuwaambia wananchi kama JPM anafuata sera zao. Na Sio wananchi tuambiane wenyewe kwa wenyewe. Ili credit zigawanywe 50 50. Sio upande mmoja kama ilivyo sasa.
 
Back
Top Bottom