Kilichoulizwa ni kwamba kwenye hizi siku 26 baada ya kuapishwa na zile siku 14 baada ya kuapishwa. Upinzani umekaa kimya sana. Tulikuwa tumezoea kuona headlines mbali mbali. Lakini sasa kina headline ni Magufuli , Majaliwa na Sefue.
Wanavyokaa kimya sana ndio point za kina Prof. Mkumbo zinakuwa na maana kwa walisema kama upinzani ni uchwara.
Hoja tu.
Tunasubiri Msiba mwingine utokee ,ili tufungue kesi