Mkuu hebu tufafanulie zaidi hapa kwenye uhusiano wa kuwepo dikteta na kuwa na intervention kwenye mifumo mingine kama mahakama. Maana kiuhalisia hata kama hakuna udikteta au kiashiria cha udikteta, kama mahakama haipo huru ni haipo huru tu. kwa kifupi uhuru wa mahakama unakuwa guaranteed na katiba.Mwana bodi.
Nimesoma ujumbe wako ulioutoa dhidi ya tundu lissu, na umetoa maoni yako kwamba Mh Tundu lissu amekosea approach aliyoitumia kataika kupinga udikteita.
Umetoa utaratibu unaotakiwa kuchukuliwa kwa mujibu wa sheria ili kupinga udikteita Mahakamani, sas basi ni ama umekosea makusudi au umepitiwa kidogo katika kutoa mtazamo wako,Hivi ni katika mazingira gani Dikteita anakuwepo then mifumo mingine kama mahakama bado ina-function fully free from intervention? Katika tawala za kidiktaita Mtu mmoja ndo anakuwa Judge and jury, Kwahiyo basi ni wazi huwezi kwenda katika mfumo wa sheria mahali ambapo sheria haipo. no longer at ease my friend
Dilution and partiallyMkuu hebu tufafanulie zaidi hapa kwenye uhusiano wa kuwepo dikteta na kuwa na intervention kwenye mifumo mingine kama mahakama. Maana kiuhalisia hata kama hakuna udikteta au kiashiria cha udikteta, kama mahakama haipo huru ni haipo huru tu. kwa kifupi uhuru wa mahakama unakuwa guaranteed na katiba.
babati ni jina lako halisi? Jinga kubwa weTatizo unaweza kuyaelezea ulivyo muonga na Id fake?
Ni jina la bibi yakobabati ni jina lako halisi? Jinga kubwa we
umeanza matusi nitakutukana, ni jina la mama yakoNi jina la bibi yako
Poa tukanaumeanza matusi nitakutukana, ni jina la mama yako
sawa, poa acha kutukana maana umeingiza mambo ya bibi wakati tulikuwa tunajadili sisi.Poa tukana
Haya nihususawa, poa acha kutukana maana umeingiza mambo ya bibi wakati tulikuwa tunajadili sisi.
Umeshindwa kujadili hoja, unamjadili Paskali. A very strange nation, na watu wake.Huyu ni mnafiki wa siku nyingi sana!!! Mwanzoni alisifia sana serikali, akawa anatafuta tonge! Alipoona hakuna dalili za tonge( yaani kupewa ka cheo kokote ndani ya serikali), akaanza kuchafua hali ya hewa! So, huyu jamaa ni ndumila kuwili design Fulani..!!! Huyu huku kwetu musoma simtofautishi na kitu kinaitwa "msimbe" yaani mwanamke unaeweza kumchukua ilimradi uwe na pesa..!!!
And this is what most jf members do.y aan post yote imegeuka kumjadili paskaliUmeshindwa kujadili hoja, unamjadili Paskali. A very strange nation, na watu wake.
Paskal Mayalla nikuambie kwa kawaida viongozi wa kisiasa hasa watawala wa kiafrika huwa hawaogopi mahakama bali huogopa nguvu ya umma. Kwa hiyo njia aliyotumia Lissu ndio njia sahihi kabisa, na iwapo kuna mwingine anaona njia ya mahakama ni bora basi anaweza kuitumia. .
Wewe umeona hiyo aliyoleta ni hoja?eshindwa kujadili hoja, unamjadili Paskali. A very strange nation, na watu wake
Ni aliyepo nje ya nchi na hayajui haya labda vingnevyo ameshikiwa akiliDah, watu wana mambo moyoni jamani, eeeh! Wakipata nafasi ya kufunguka wanafanya kweli. Taifa lina haja ya kujitafakari. Asante chinembe