CURIOSITY_200
JF-Expert Member
- Sep 25, 2016
- 320
- 260
Nafikiri kiswahili bado ni lugha changa na matokeo yake watu km wewe na juma ponda maharage hutumia some words ignorantly.Unaweza kuongelea lugha ya ustaarabu na ukamwacha JPM???
In short, ustaarabu = civilization, civilised society or country ni ile ambayo kila binadamu anao uhuru wa kutoa maoni yake na nchi inaendeshwa kwa katiba wa wananchi, etc etc.
So nadhani tatizo lako ni lugha, huelewi maana ya ustaarabu, wewe na uchwara by all measures are UNCIVILISED creatures that need to learn civility from people like Tundu Lissu who is going to be President of Tz come 2020, so get prepared.
Sent using Jamii Forums mobile app