Hoja ya Slaa haijadiliwi, why?

nat867

Member
Feb 14, 2008
97
5
Bunge limetoa ratiba ya vikao vyake inaonyesha issues za richmond, atcl, trl na ticts zinajadiliwa jumatano siku ya mwisho ya mkutano. Maswali haya yananijia

a)kwa nini issue hizo muhimu zisubiri siku ya mwisho.Is it strategically planned ili zisiwe na mjadala mrefu due to time limit?

B)mbona hoja binafsi ya Slaa kuhusu marsha haijawekwa ratibani. Au kwa nn kamati ya masilingi isiwasilishe taarifa yake. Au wanataka mchuzi upoe na hatimaye hoja kuzikwa.
Huu ni upuuzi na wizi mtupu
 
Kuna mtu alisema Spika 6 ni dikteta. Mimi nilisuport. Leo amesema taarifa ya Masilingi kesho. Dr. Slaha kawekewa kauzibe asiwasilishe hoja binfsi. Leo ameponda mamlaka ya mahakama, kesho atatoa tamko rasmi la Bunge. Pia ametetea ubabe wa Naibu Spika ni kwa ridhaa yake yeye Spika 6.
 
Nani kaponda mamlaka ya mahakama?, kama ni Mh. Sita analipa mapigo ya Jaji Mkuu aliyesema kuwa "Bunge lisiingilie kazi za Mahakama" akikumbushia yale ya Mengi na Malima (soma hapa http://www.freemedia.co.tz/daima/habari.php?id=2189). Spika Sita kusema ukweli kuna mambo anajitahidi kulifanya Bunge kuwa huru, ukweli ukiwepo lazima tuseme. Lakini kwa kuwa ni CCM kuna wakati anaegemea kwa chama chake.

Mambo muhimu (richmond, atcl, trl na ticts) hivyo yanajadiliwa siku moja, ngoja tusubiri watajadili nini?.
 
Back
Top Bottom