Hoja ya Edo Kumwembe kuhusu Serikali na upinzani

kutokana na maendeleo tuliyo nayo sasa hivi, tumesha shinda vita na "ujinga, maadhi na sijui nini kile" ,...sasa hivi tuna maadui wapya....yani "upinzani, kukosa uzarendo na mabeberu"
mabeberu mpaka sasa wamefanikowa?
 
Hizi haziwezi zikawa ni Akili za Edo peke yake. Mawazo kama haya kwa mchambuzi wa soka its so unmatched..

ujumbe huu usomwe kwenye nyumba za ibada.

SALAMU MAHUSUSI ZA SIKUKUU.
 
Huenda kaandikiwa na wajanja zaidi kwani mwandishi ni mtu mjanja anayejielewa asiye na Akili za kishamba kama za Cyprian Musiba na Le mutuz
 
Adui wa kwanza ni upinzani.
Adui wa pili ccm wachumia tumbo.
Adui wa tatu umaskini.
Nikipata madaraka naanza kufuta upinzani TZ, then ccm wachumia tumbo, then umaskini.
SIPANGIWI.

Hata usipopangiwa hilo unalopanga halitafanikiwa kwani Upinzani hauna kosa na CCM ndipo kwenye Uozo mwingi lakini umewapendelea tayari
 
Adui wa kwanza ni upinzani.
Adui wa pili ccm wachumia tumbo.
Adui wa tatu umaskini.
Nikipata madaraka naanza kufuta upinzani TZ, then ccm wachumia tumbo, then umaskini.
SIPANGIWI.
Ndani ya familia kuna upinzani sembuse ndani ya nchi
 
Mbaya zaidi wanasahau CCM hii hii ndio iliyotuharibia nchi, na wanasahau kama hawa hawa CCM ndio wanatudanganyia pipi. Akili za ajabu sana hizi
Kwani hao chadema wametufanyia nini cha maana? Nao si genge la watu wachache wanaojinufaisha kwa kula pesa zetu za kodi kwa njia ya ruzuku tu!?
 
Yeye ni chama tawala lazima mtofautishe. Yeye kaingia mkataba na ccm lazima, atoe mrejesho kila eneo. Vyama vingine havina hadhi hiyo. Hapo ndiyo mnakosea. Rudini shule, chama tawala kina haki si sawa na Vyama vingine. Kitahojiwa mwishoni lakini chadema hana wa kumhoji. Someni
Ila Kazuia mikutano ya Siasa,

Kwamba
"mda wa siasa umekwisha, tufanye kazi"

Cha ajabu Yeye anafanya Siasa.
 
Hii itakuwa makala ya pili ya Eddo Kumwembe kuisoma. Eddo kaacha uchambuzi wa soka sasa kaingia kwenye siasa?

Ila kasema kweli...
Siasa na michezo kwa Tanzania ni ndugu mmoja ndiyo maana hata FIFA wamekubali TFF ifunge viongozi wa soka pasipo kuingiliwa na FIFA, mbio mdogo mdogo kuelekea kwenye Siasa baadae atagombea udiwani au ubunge
 
Ccm hawajui wajibu wao, wanapaswa kuwaeleza upinzani kwamba ccm wana haki ya kufanya mikutano ili kutoa mrejesho kwa mwajiri. Vyama vingine havina haki ya kufanya mikutano kwani hawana mkataba na wananchi mara baada ya uchaguzi. Shida ya ccm wamekalisha tuuuu hawatoi ufafanuzi. Wao ndiyo wenye ilani. Wanaodai mikutano wanapaswa kufanya mikutano maeneo waliyoshinda kwani ndiyo maeneo waliko na mikataba na wananchi. Shida ccm hawasemi haya.
 
Yeye ni chama tawala lazima mtofautishe. Yeye kaingia mkataba na ccm lazima, atoe mrejesho kila eneo. Vyama vingine havina hadhi hiyo. Hapo ndiyo mnakosea. Rudini shule, chama tawala kina haki si sawa na Vyama vingine. Kitahojiwa mwishoni lakini chadema hana wa kumhoji. Someni

Kwanza si chama tawala na hakina haki ya kukandamiza demokrasia na hilo halihitaji kwenda shule hata darasa moja, haki sawa ya kufanya mikutano ni lazima kwani ipo kikatiba, CCM haitakuwa sawa kwa wingi wa wanachama lakini kwenye demokrasia ipo sawa na vyama vingine, hakuna mtu anahoji yaliyotendwa na marais wastaafu lakini huko chadema mbona mnawabambikia kesi kila kukicha, unajua maana ya chama tawala? Tawala maana yake ni Utawala wa kijeshi.
 
Serikali inatekeleza sera za nani? ?? Kama utaelewa hilo basi ujue wenye sera watataka mrejesho periodically. Hilo linatosha kutofautisha na Vyama vingine. Mfano Marekani, democratic hawafanyi siasa za majukuani. Wamewapa nafasi Republican wafanye kazi. Lakini bongo watataka haki sawa. Kwa leo msitegemee. Tiini sheria na taratibu
Kwanza si chama tawala na hakina haki ya kukandamiza demokrasia na hilo halihitaji kwenda shule hata darasa moja, haki sawa ya kufanya mikutano ni lazima kwani ipo kikatiba, CCM haitakuwa sawa kwa wingi wa wanachama lakini kwenye demokrasia ipo sawa na vyama vingine, hakuna mtu anahoji yaliyotendwa na marais wastaafu lakini huko chadema mbona mnawabambikia kesi kila kukicha, unajua maana ya chama tawala? Tawala maana yake ni Utawala wa kijeshi.
 
Ccm hawajui wajibu wao, wanapaswa kuwaeleza upinzani kwamba ccm wana haki ya kufanya mikutano ili kutoa mrejesho kwa mwajiri. Vyama vingine havina haki ya kufanya mikutano kwani hawana mkataba na wananchi mara baada ya uchaguzi. Shida ya ccm wamekalisha tuuuu hawatoi ufafanuzi. Wao ndiyo wenye ilani. Wanaodai mikutano wanapaswa kufanya mikutano maeneo waliyoshinda kwani ndiyo maeneo waliko na mikataba na wananchi. Shida ccm hawasemi haya.

Katiba haisemi hivyo na CCM hawana mamlaka ya kwenda kinyume cha katiba ingawa sasa wanaenda kinyume na katiba kwenye mambo mengi tu ikiwemo kuzuia mikutano ya siasa makusudi huku wao CCM wakiendelea kufanya mikutano bila kuzuiwa na mtu, hakuna kisingizio cha kutoa mrejesho kwa mwajiri wala nini kwani waajiri ambao ni wapiga kura hawakuwachagua CCM bali ni uchakachuaji umewafanya kuingia ikulu, na mirejesho yenyewe ina magumashi lakini Wapinzani waruhusiwe kufanya mikutano ili mrejesho wa CCM upate uthibitisho kuwa ni mrejesho wa kweli na haki?
 
Serikali inatekeleza sera za nani? ?? Kama utaelewa hilo basi ujue wenye sera watataka mrejesho periodically. Hilo linatosha kutofautisha na Vyama vingine. Mfano Marekani, democratic hawafanyi siasa za majukuani. Wamewapa nafasi Republican wafanye kazi. Lakini bongo watataka haki sawa. Kwa leo msitegemee. Tiini sheria na taratibu

Mrejesho nao huwa na kasoro mafungufu kibao lazima Wapinzani wapewe nafasi ya kuuchambua mrejesho wa CCM kwani CCM si malaika wala mungu kuwa wanavyofanya vyote vipo sawa, huko Marekani uhuru wa kufanya siasa ni mkubwa hakuna Tabia mbovu ya kukomoana kubambikiana kesi wala kuruhusu usajili wa utitiri wa vyama vya upinzani ili CCM wavitumie kuwachonganisha kisha CCM inapeta, Huko Marekani wana vyama viwili vikubwa na hii ikiruhusiwa Tanzania kuwa na vyama viwili tu yaani chadema na CCM ujue mwaka 2020 CCM itakuwa chama cha upinzani kama KANU ya kenya kwani waangalizi wa kimataifa kwenye chaguzi watamiminika kwa wingi na uchakachuaji wa CCM utadhibitiw na ndipo CCM itakuwa upinzani.
 
Kumbe wewe upo kutetea chadema. Hahaha hata Cuf na nccr vikiwahi kuwa vyama vikuu, subiri 2020 chama kikuu kitatangazwa yawezekana ccm au nrd
Mrejesho nao huwa na kasoro mafungufu kibao lazima Wapinzani wapewe nafasi ya kuuchambua mrejesho wa CCM kwani CCM si malaika wala mungu kuwa wanavyofanya vyote vipo sawa, huko Marekani uhuru wa kufanya siasa ni mkubwa hakuna Tabia mbovu ya kukomoana kubambikiana kesi wala kuruhusu usajili wa utitiri wa vyama vya upinzani ili CCM wavitumie kuwachonganisha kisha CCM inapeta, Huko Marekani wana vyama viwili vikubwa na hii ikiruhusiwa Tanzania kuwa na vyama viwili tu yaani chadema na CCM ujue mwaka 2020 CCM itakuwa chama cha upinzani kama KANU ya kenya kwani waangalizi wa kimataifa kwenye chaguzi watamiminika kwa wingi na uchakachuaji wa CCM utadhibitiw na ndipo CCM itakuwa upinzani.
 
Namkubali sana Edo Kumwembe , sio hapa tu hata Makala zake mwanasport Jicho la mwewe huwa anazipangilia vizuri sana kasema ukweli uliomchungu, huwezi kumuona magonjwa mtambuka, na kundi lao kuja kutia neno hapa, wanasoma tu na kupita.
 
Back
Top Bottom