We we ndio unaona hivyo mtawala anaeogopa mpaka katuni unaona yuko sawa?Mbona andiko liko vizuri tu halina uchochezi
Nina roho ngumu kuliko mitume.Mkuu una nguvu za ziada kushinda mitume
Umeona like yangu huko?Kwako halina uchochezi Mkuu. Lakini nakuhakikishia kule feri wamekasirishwa Sana na maandishi yake
Bado Edo atauliza swali lile lile je "JE KUMZUIA KWENDA SOUTH AFRIKA KUTAKUWA KUMEPUNGUZA UMASIKINI WA WATANZANIA?"Haya Edo, bado tunazihitaji makala za Michezo...hii serikali haina huo uvumilivu unaofikiri...ngoja wazuie viza ya kwenda kuchambua mpira SA ndio utajua hii serikali ya aina gani.
Kwa hiyo mtu akisema ukweli ni lazima atekwe, ateswe, akatupwe kwenye kisiwa chenye chatu, aozee jela au amiminiwe risasi?Eddo asipoalia, Pasaka ya 2019 Kama Mungu atamfikisha, hataila akiwa na familia, ndugu, jamaa na Marafiki.
Adui wa kwanza ni upinzani.
Adui wa pili ccm wachumia tumbo.
Adui wa tatu umaskini.
Nikipata madaraka naanza kufuta upinzani TZ, then ccm wachumia tumbo, then umaskini.
SIPANGIWI.
Labda ndiye Malaika mkuu.Mkuu una nguvu za ziada kushinda mitume
Kwako halina uchochezi Mkuu. Lakini nakuhakikishia kule feri wamekasirishwa Sana na maandishi yake
Du,kumbe hili ni punga,ndiyo maana lina comments za kimalaya malaya.Yaani nch iongozwe na shoga wa magomeni,, mshenzi Kweli ww,, utawaongoza magay wenzio,, mi nakujua aswa, lol
No kweli mkuu, wengine tumefikia hatua tukiona mkuu anahutubia huwa yunachange channel kwa sababu hii, kiukweli huwa sizipendi hoyuba za kaka mkiiExcellent thinking. Inakera sana kukuta tukio la kiserikali linageuzwa kuwa mkutano wa CCM.
Merry christmas dada yangu.Yaani nch iongozwe na shoga wa magomeni,, mshenzi Kweli ww,, utawaongoza magay wenzio,, mi nakujua aswa, lol
Bahati mbaya nyingine kuna wenzetu tena wana elimu nzuri tu, wanakimbilia kusema tuna demokrasia inayofunction na utawala bora kwa sababu ya dakika 5 za salamu za MnyikaBahati mbaya kuna wanaofikiri tatizo letu ni keki tulio nayo aile nani. Kwa uroho wetu tumepoteza ustarabu na kushenzika. Kwa upande mwingine "Nyerere alitujengea ukondoo"-na kondoo wa nyerere wakawa wengi (miaka 26 wa utawala wake), na shida ni ukondoo huu kurishishwa toka kwa mzazi kwenda kwa watoto. Kuna watu sasa wanadhani wanahaki takatifu ya kutawala wengine, wakajiaminisha hivyo,wakateka vyombo vya dola na kazi yao kubwa ni kuswaga wale kondoo wa nyerere kwa upande mmoja na wako mbioni "kuua" wenye mawazo tofauti. Huu sasa umekuwa ugonjwa wa siasa za Tanzania matokeo yake ndiyo hayo. Kondoo wanaguna chini chini, wakubwa wanawaswaga wakijifanya kuna demokrasia na haki.
Fikiria vyama vitano vya upinzani kwa masaa matano havikujua wapi kwa kurudisha fomu za wagombea wao kule Korogwe na Tume ya Uchaguzi yenye wasomi (Judge na PhD) wana amini hivyo. Na sisi wengine tunaona poa tu au kuguna chini chini. Je tutafika?
Tumefika hapa tulipo kwa akili za kipuuzi na Maskini kama hiziAdui wa kwanza ni upinzani.
Adui wa pili ccm wachumia tumbo.
Adui wa tatu umaskini.
Nikipata madaraka naanza kufuta upinzani TZ, then ccm wachumia tumbo, then umaskini.
SIPANGIWI.
Coward at its best...Hunijui vizuri wewe.
Mchumba tu weweNina roho ngumu kuliko mitume.
Harsh and cruel than Hitler but only to the evil ones.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Sijui kama atapata hamu ya ku replyYaani nch iongozwe na shoga wa magomeni,, mshenzi Kweli ww,, utawaongoza magay wenzio,, mi nakujua aswa, lol