KAZIMOTO
JF-Expert Member
- Aug 19, 2010
- 1,073
- 324
Nchi yetu ni ya undugu mkubwa baina ya waislamu na wakristo na kama usingekuwa undugu huo wachochezi hao wachache wangekuwa wamefanikiwa kuwasha moto wa udini.
Kazi yetu kubwa ni kushirikiana sote bila kujali dini zetu kuzima cheche za moto huu zisilipuke. Kila mtu ataungua kwani wote tunaishi nyumba moja ( Tanzania).
Uliwahi kusikia na kuona wapi nyumba unayoishi inapolipuka kwa moto ukapata uhakiki wa 100% kwa 100% kwamba utasalimika? na kama utasalika basi baadhi ya wanafamilia wako watapoteza maisha kufuatia moto huo, hususan unapokuwa moto mkubwa ni balaa zaidi.