Ndugu wanajamvi, salamu.
Kutetereka kwa hali ya amani ya nchi yetu Tanzania kunakotokana na tetesi za uwepo wa vikundi vya kigaidi vya siasa kali za kiislamu vinavyodaiwa kupanga kufanya mashambulizi kwenye makanisa mbalimbali wakati wa sikukuu ya pasaka, makanisa mbalimbali yamewatangazia waumini wao watakaohudhuria misa ya mkesha wa pasaka kuwa misa hizo zitaanza kati ya saa 11 jioni na saa 1 badala ya saa 3 usiku kama ilivyozoeleka miaka yote.
Kanisa katoliki jimbo kuu la Mwanza kupitia mahubiri ya jana jumapili limewaelekeza waumini wake walioko kwenye vigango kuanza misa saa 11 na wale wanaosali parokiani kuanza misa saa 12 ili kufikia saa 3 usiku shughuli ya ibada iwe imekamilka. Pia waumini wametakiwa kuchukua tahadhari kwa kitu au mtu yeyote wanayemtilia mashaka.
Vilevile waumini wa kikristo wametakiwa kufunga kwa siku saba na kuliombea taifa na kwamba silaha pekee ya mkristo awapo kwenye nyakati ngumu za mateso ya kiimani ni kufunga na maombi..
Si kawaida, tulizoea kuanza misa ya mkesha wa pasaka saa 4 usiku, sasa tutaanza saa 12 jioni. Hapa ndipo "chaguo la Mungu" Ki'wete alipotufikisha!
Hivii ndugu zetu ( ktk utaifa) wakristo, kuna kitu gani muna kikosa musipo tudhihaki sisi waislam? Inafikia hatua inakera jamani. Yani mchungaji/padri ana vuta bange lake chooni, anatoka na kisio kuwa siku ya pasaka waislam wanataka kulipua makanisa, hivi iinaingia akilini? Tumeanza kuishi na nyinyi leo?Sisi ibada yetu itaanza saa 3 kama kawa, kama wapo wanaotaka kuja kujipitisha ua kujipendekeza waje waone kazi maana kila wakati wanajifanya kama wana nguvu na uwezo sana. Watajuta siku waliyozaliwa isingefika wawepo dunia hii. Hatujali karate wala kungfu walizojifunza, hawatafanikiwa kurusha hata konde moja.
Duh! Nchi yenu muna kaa kwa wasisi? Wasisi ndio wilaya/mkoa gani ktk TanzaniaNchi yetu tunakaa kwa wasisi. Mungu tusaidie
Hakuna mtu mbaya kama mnafiki, siku zote chochote asikiacho hujustify bila hata ku-investigate, mleta mada na his likes wanaamini christians watafanyiwa ugaidi, lakini wanaamini just kwa kusikia rumors tht's why hata kutaja specifically ni akina nani wana mpango wa kuratibu hayo wameshindwa. Lazima tusemezane ukweli hakuna mtu mbaya na mwenye sumu zaidi ya nyoka kama yule mwenye kuamsha fitina iliyolala, ni dhahiri mleta mada una nia ya kuzidi kupandikiza chuki baina christians and moslems kwa hiyo thread, FROM NOW ONWARD STOP, PUMBAVU.
Yaani waumini wengi kweli huku kwetu wanasema hawatasali usiku.
Hizi habari mwambie mwenzako aleyeleta vitisho.....
Halafu nyinyi kwa kujifanya wapole balaa..huku ndio mnaongoza duniani kwa uuaji....
Muislamu Adui yake si mkristo ..muislamu adui yake ni yoyote anyewafanyia Uadui uislamu .....
Muislamu adui yake ni yoyote anyefanya Udhalimu hapa duniani...
kuanzia watembea Uchi...
Watengenzaji wa PICHA za ngono
...walevi ...wazinz
i....wavaa vimini
....wacheza kamari
..waabudu sanamu..
.wavamizi....
wala mizoga...
wafunga ndoa za Jinsia moja...
Wanaoamini mungu wa kweli wapo zaidi ya mmoja...
Madikteta
Wauaji...
...n.k
Ukiwa katika haya wewe ni adui wa uislamu...haijalishi Jina lako ni la kikiristo,Kiislamu,Kibudha,Kihindu....
Kwanza nilishtuka na kusema sasa tunapoenda sio kuzuri kabisa kama hali ndiyo imefikia hapa. Nikitegemea labda watu wa usalama wame-detect cell tayari ya watu wenye nia ya kufanya hizo dhambi mkesha wa ijumaa kuu.
Kama ni fikra tu za mkichaa mmoja unaweza washauri na watu wasiende kabisa kanisani on easter sunday.
Kwanini watu mnapenda kuwatisha wenzenu bila ya sababu na kutaka kuvunja hata rituals za kidini kisa kuhamasiha chuki, mijitu mingine bwana.