Hofu ya ugaidi: Ibada ya mkesha wa pasaka kuanza saa 11 jioni!;

Status
Not open for further replies.
kuna watu hiyo hofu wanaitengeneza kwa maslahi yao binafsi. walianza na kusema kuwa serikali inawapendelea waislam, baadaye wakazusha kuwa kuna waislam wametoka somalia kuwadhuru wakristo siku ya pasaka. hawa watu wajinga mno

kinga ni bora kuliko tiba watu walipopuuzia tuliona mauaj yaliyotokea zanz na kuuawa kwa mchungaj mwanza.kama wewe unaona ni ujinga watu kulinda maisha yao hongera nadhan wewe upo upande salama.ila sasa watu wanapaswa kuwa makin dhid ya watu wanaomwabudu shetan wanaodhan kuua binadam wengne ni njia ya wao kwenda kwa Muumba wao.kitu ambacho kina make sense kabisa.maana wauaji ni watu wa shetan siku zote bila kujal wanajitambulisha kwa din gan.mkristo hata akikuta mtu anamtukana Yesu hapasw kumuua Yesu hatetew na binadam.sijajua kwa waislamu kukoje.ila anayeua ni muumin wa din ya shetan.imeandikwa usiue.
 
Kwani Kikwete aliwahi kuwa madarakani? mie naona nchi inajiendea tu inakoelekea wakati yeye yupo kwenye safari zake. Tanzania bwana, hata isipokuwa na kiongozi inajiendea tu. Hii ndio faida ya amani na utulivu
 
There are currently 127 users browsing this thread. (27 members and 100 guests)



Naamini kati ya hawa 27 na wageni mia moja kuna mtu/watu waliokaribu na mkuu wa kaya, mwambieni ajaribu kurekebisha hii hali ingawa inavyoonekana kazi imeshamshinda na hili linakuwa gumu kwake kutokana na kuwepo dalili za wazi za uwepo wa ushiriki wake na chama chake pamoja na serkali yake ktk kugawa watanzania kwa dini, kabila na maeneneo wanayotoka.
 
nashukuru kwa kuniita mpuuzi. ila mie nimewadokeza tu kampango ambako nimesikia wahusika wakipanga kutaka kupost kwenye jf na mitandao mingine. pia nimesikia waliposema kuwa wanataka hofu ya magaidi itawale kwenye makanisa ili suala la lwakatare lisijadiliwe kwenye public na kwenye mitandao ya kijamii

Ukiona watu wanakanusha kuwepo kwa vitendo vya ugaidi wakati wa Pasaka, ujue ni kweli vitakuwepo. sasa ndugu yangu, unazuia watu wasichukue tahadhari ili iweje?
 
Wasiwe na hofu mtuhumiwa wa ugaidi nchini ambaye ni kiongozi wa CHADEMA bwana LWAKATARE bado yupo kizuizini.

Usiweke utani kwenye maisha ya binadamu wenzako,hata kama unafaidika na hali ya udini iliyopo,basi ni bora unyamaze.Maana kuna baadhi ya statement zinatia maudhi,hasa kwa waathirika wa masuala ya udini.
 
Najiuliza tz tumefikaje hapa? Yaani kwenda kusali huku una hofia kushambuliwa na watu usio wajua,hakika hii itapunguza mahudhurio makanisani.MUNGU tunakuomba uwalinde wale wote wanakabiliwa na vitisho kama hivi..duniani kote wakati huu wa pasaka.
 
watu wachoyo naona wameanza kutuingilia watanzania ili tusishirikiane. walianza kuja na hoja ya wakristo wawe na mabucha yao na wajichinjie kitoweo, walivyoshambuliwa wamekuja na hoja ya ugaidi ili waislam na wakristo wasishirikiane kusherehekea pasaka. pumbavu. mbona miaka yote tulikuwa watulivu?

Ukitumia muda wako kidogo tu ufikirie juu ya sentensi hii yako,kwamba kwa nini leo kuwe na hofu miongoni mwa dini hizi mbili ilhali hapo zamani tuliishi pamoja.Ukipata jibu basi hautakaa uandike sentensi zenye maudhui ya kuudhi watu wengine.
 
yes haya mambo yanatengenezwa makusudi.kuna sms za simu za uchochezi huwa zinasambazwa hivi hata hili mamlaka hailioni na kuwafuatilia wanaotuma hizo sms.

Fafanua mkuu tujue kama ujumbe ni wa kuchochea vurugu ama kuchochea amani, yaani tuambie huo ujumbe unasemaje?,
 
Sisi ibada yetu itaanza saa 3 kama kawa, kama wapo wanaotaka kuja kujipitisha ua kujipendekeza waje waone kazi maana kila wakati wanajifanya kama wana nguvu na uwezo sana. Watajuta siku waliyozaliwa isingefika wawepo dunia hii. Hatujali karate wala kungfu walizojifunza, hawatafanikiwa kurusha hata konde moja.
 
Acheni woga wakristu sisi tunasari saa tatu kama kawa tuone hawa wanojiita magaidi kumewashinda kwao wataweza kwa YESU kama wanauchungu si wakawasaidie waislamu wenzao wanauwawa kila siku huko syria afga leba iraq. pasaka mkesha kama kawa we utaona ugaidi ugaidi hawajui wako wachache kuliko sisi. Mungu akiwa Upande wetu nani atatushinda. Nchi hii inawakristu zaidi ya mil 30 tutagawana mmojmmoja toka viongozi hadi polisi mgambo hadi usalama wa Taifa shauri yenu mnatuona mazoba ee subilini lianzisheni Pasaka muone kama mtaswali make wenyewe tu hampatani
 
Tuombe na kufunga kuliombea taifa letu, hata ambao si wakristo wafanye hivyo.

Well said, tena inabidi tufunge tukimaanisha na si kushinda njaa tuu, kweli hawa watu ni hatari.
Note!Mungu akiwa upande wetu nani atakuwa juu yetu? Amini hakuna na Ibada zitasimama kama kawaida kwa jina la yeye mwenye uweza wa yote.
 
Suala sio kuwajaribu,Wakristo tunaamini kuwa vita vyetu sio vya damu wala nyama ni juu ya wafalme wa anga na wakuu wa giza.Na ninyi mnaamini kuwa maadui zenu ni wakristo.Je hapo unategemea mkristo atawa-try pamoja na wingi wao?

Hizi habari mwambie mwenzako aleyeleta vitisho.....

Halafu nyinyi kwa kujifanya wapole balaa..huku ndio mnaongoza duniani kwa uuaji....
Muislamu Adui yake si mkristo ..muislamu adui yake ni yoyote anyewafanyia Uadui uislamu .....

Muislamu adui yake ni yoyote anyefanya Udhalimu hapa duniani...
kuanzia watembea Uchi...
Watengenzaji wa PICHA za ngono
...walevi ...wazinz
i....wavaa vimini
....wacheza kamari
..waabudu sanamu..
.wavamizi....
wala mizoga...
wafunga ndoa za Jinsia moja...
Wanaoamini mungu wa kweli wapo zaidi ya mmoja...
Madikteta
Wauaji...
...n.k

Ukiwa katika haya wewe ni adui wa uislamu...haijalishi Jina lako ni la kikiristo,Kiislamu,Kibudha,Kihindu....
 
Status
Not open for further replies.
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom