Kwanini vitendo vya kigaidi vije wakati wa Pasaka na sio wakati wa Idd au mwezi mtukufu?
Wasiwe na hofu mtuhumiwa wa ugaidi nchini ambaye ni kiongozi wa CHADEMA bwana LWAKATARE bado yupo kizuizini.
Wewe ni mpuuzi kweli na hauna maana kabisa.
Ni kweli hata sisi tutaanza Misa saa 2 usiku. Tunaomba tu Mungu atuepushe
Ipo siku tutasitisha "KUCHAMBA KWA MARA TANO KWA SIKU" Hii ni kwasababu kitendo cha kutusakama sisi Wakristo bila sababu itafika muda tutasahau huruma yetu na tutaiweka kando ROHO YA KUVUMILIA nasi TUTAAMUA LIWALO NA LIWE. Haiwezekani ibada yetu kuvunjwa na kupangwa muda usio just kwasababu ya KUWABEBA MAGAIDI HAWA.
kuna watu hiyo hofu wanaitengeneza kwa maslahi yao binafsi. walianza na kusema kuwa serikali inawapendelea waislam, baadaye wakazusha kuwa kuna waislam wametoka somalia kuwadhuru wakristo siku ya pasaka. hawa watu wajinga mno
Wasiwe na hofu mtuhumiwa wa ugaidi nchini ambaye ni kiongozi wa CHADEMA bwana LWAKATARE bado yupo kizuizini.
Mleta Mada umewasilisha mada yako kiu-chochezi...
Unataka kuwaaminisha watu kuwa tanzania kuna uhasama mkubwa baina ya waislamu na wakristo ...jambo hili si kweli hata kidogo....
Hivi huna ndugu au rafiki muislamu wewe ?
Halafu unajichanganya...huweleweki unaiwakalisha CHADEMA au KANISA ? ...
Au ndio vile ...CHADEMA ndio KANISA Lenyewe ?
Kuhusu magaidi usihofu...ni LUDOVICK na WIlfred LWAKATARE bado wapo ndani...kwa hiyo endesheni ibada zenu kwa amani...
PASAKA njema...
AmeniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiTutaanza ibada mapema saa moja jioni hatuvai bullet proof silaha yetu ni maombi na wiki hii tumeingia katika maombi juu ya amni ya taifa ili,mungu wetu wa amani atatenda muujiza sooni,
bado siamini kuwa waislamu na wakristo wa Tanzania tumefikia uhasama mkubwa kihivyo...
mada imeletwa kuhusu tishio la Ugaidi, ni kwa nini tunajadili ukristo na uislamu badala ya kujadili ni nani hao wanaleta ugaidi ili sisi waislamu na wakristo tugombane.
hapa ubaya sio uislamu na ukristo bali hao wanaotaka kututenganisha.
ukweli ni kwamba huyu jamaa yenu jm ameshapoteza uhalali wa kuwa kiongozi mkuu wa nchi huwezi kuwa kiongozi huku ukiridhia vitendo vya kigaidi nchini. The sin of omission is as good as the sin of commission. Anatakiwa aachie ngazi. Is a failure. Kama ni division bas ana division "0" ktk uongozi
Jimamosi kuu huku kwetu hatusali usiku, tunasali jioni na misa iishe kabla jua halijazama kwa hofu
Suala sio kuwajaribu,Wakristo tunaamini kuwa vita vyetu sio vya damu wala nyama ni juu ya wafalme wa anga na wakuu wa giza.Na ninyi mnaamini kuwa maadui zenu ni wakristo.Je hapo unategemea mkristo atawa-try pamoja na wingi wao?Try us