Hofu ya mabomu kariakoo!

msipoandamana leo waislam...mafalaaaa!!! ingieni barabarani mpambane na hao Policcm, vijana wa al haji Mwema na al haj Kikwete!!! najua hawawawezi na hata mkifa, pepo inawasubiri!!
sadakta sadakta, yaani leo pepo nyeupee kiulaini! Kiasi tu nijipendekeze kwa mjeshi nipigwe ngeu! Utaendaje sardausi kwenye mahulu72 wenye kiuno kama nyigu makali40ft bila ngeu? Imekuwa harusi au? Takbiriiiiiiiiii!daah, wallah hatutakii!
 
Wanajamvini nimetumia msg magomeni hapafai, nipo mitaa ya Salenda nimeona pikipiki za tigo zimepita kama 100 hivi kuna nini uko usalama jamani

Sasa Kama huna pa kwenda ndo utulete umbea mchana kweupe hivi.
Ndo nyinyi mkiambiwa kesho mwisho wa dunia mnajitia kiberiti.
 
Matatizo ya kuzifanya DINI kama mama aliyekuzaa ndio hayo. DINI ni kama mke. Unaweza kuibadili, kuiacha, kujitenga au hata kubaki unaitazama tu.

Wewe unajitambua,..huu uzungu/uyahudi na uaraabu hauwezi kukuathiri ,...very..very...very good,.....mawazo safi haya.

Watu wanajifanya wana dini kuliko hata wazungu na waarabu wenyewe........tutafakari
 
Kweli hii dini ilichukiwa tangu inaingia hapa ulimwenguni, siku yule mkuu alipopelekwa kule pangoni alikutana na huyo aliyemletea akaanza kubadilisha vifungu vya Biblia. Akaanza kumwambia "Sema allah" Akazidi kumwambia "sema mtume" na mwisho "sema islam" Yote haya jamaa hakutamka kwa furaha alilazimishwa na akapewa viapo.
 
Shiiit funga mdomo na uache uchokozi, kwani salenda ni njia ya kwenda magomeni, hiyo ni mwenge masaki na pande za wenye doo, hizo pikipiki labda zinaenda kuwalinda Haooo mafisadi wa pande za masaki na bay
 

sawa mkuu' nimekupata.
 
Mwandishi wa habari Azizi kutoka Kariakoo ameripoti kwamba makundi ya wananchi ambao wapo Kariakoo yameanza kuondoka Kariakoo kuelekea majumbani kwa sababu hali sio nzuri, polisi wametanda kwenye barabara zote ambapo magari yanayotoka sehemu mbalimbali kuingia mjini yamezuiwa kuingia kutokana na kikundi cha waandamanaji kilichojiandaa kuandamana kuelekea kwenye ofisi ya Waziri mkuu kutawanyishwa kwa mabomu ya machozi na kikundi kikasambaratika.
Polisi bado wanaendelea kudumisha ulinzi ambapo kwa sasa maduka yamefungwa na mengine yanaendelea kufungwa, shughuli nyingine za kawaida zimesimama na kwa sasa msururu wa watu unarudi kuelekea majumbani, vikundi vya maandamano vimeripotiwa kujikusanya kwenye maeneo tofauti tofauti.
Polisi wanatumia Farasi, Mbwa na magari kusimamia amani ambapo vikundi vilivyojaribu kuandamana vilikua na bendera na wengine walikua na fimbo kabisa, na walikua na gari maalum ambalo walikua wamepanga ndio walitumie kwenda mjini kwenye ofisi ya waziri mkuu lakini polisi wakawawahi na kuwasambaratisha.
 

Fimbo za nini sasa??
 



Mkuu kwa kitu usichokijua si vizuri kukiongelea! Nani alikwambia mtume alipigana kuueneza uislam?Vita vyote alivyopigana mtume vilikuwa vya kujihami waislamu wasiuawe na makafiri (naomba nieleweke vizuri hapa hawa makafiri walikuwa wanaabudu masanamu na wanamiungu yao hawahusiani na dini yeyote iliyopo sasa) wa Makkah na hao makafiri ndiyo waliokuwa wanaanzisha vita mara zote!Na kwa kuona ukubwa na ulinzi wa mwenyezi Mungu jeshi lake la watu miambili tu lilishinda maelfu ya makafiri wa makkah kwenye vita vya kwanza vya Badr! Hivi haujiulizi ilikuwaje uislamu ukaenea kwa kasi ilhali mtu mwenyewe alikuwa ni mmoja tu tena asiye na wadhifa wowote katika nchi yake?angeanzia wapi kutumia mabavu na wale makafiri wamchekee?Wewe Mkristo endelea na imani yako lakini si sahihi kukashifu dini ya mwenzio kwa maneno ya kuzusha!

Ni kwa nadra sana huwa nachangia mijadala ya kidini kwa kuwa binafsi naona kubishania dini ni kukosa kazi ya kufanya lakini huwa sisiti kurekebisha wapotoshaji!
 

Duuuuu,kumbeeeeeeee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…