Hofu ya mabomu kariakoo!

Hofu ya mabomu kariakoo!

Polisi wanakuwa bize siku ya ijumaa! wnafanya kazi kama punda lakini wenyewe wanameyataka yote haya!
 
hii ni kwa taarifa yako tu! uislamu ulianza kuchukiwa tangu unaanza kuingia ulimwenguni na wengine wakatoa mapendekezo kama yako lakini walishindwa. je itawezekana leo hali ya kuwa umeshatapakaa kama uionavyo ardhi ulimwenguni? kama vipi jitundike mtu wangu wala uislamu hautakubugudhi tena.

ulichukiwa toka zaman kwa sabab zipi mbona husemi unabaki kutoa povu kwenye kamchina chako
 
Kazi ya fimbo...

lashing.jpg
 
Duh awajachoka tu..warudi nyumbani wakadaiwe hela ya kula siku imeshaisha na wamechemsha na wanazidi kukosa nguvu.
 
mbona nguvu zao hazipo sana kama mwanzo.....wanaogopa segerea eeh!! safi sana, hakuna kuwakopesha hawa sasa hivi dawa ya moto ni moto tuu
 
Yale mapanga vipi?hawakuona nafasi ya kuyatumia,,Lipumba bwana mböna ye mwenyewe hajiungi nao?
 
srce BBC
HIYO NI MILIPUKO ILIOTOKEA LEO KWA POLISI KUPIGA HEWAN RISASI ZISIZO ZA MOTO KWENYE MSIKTII WA IDRISA
AMBAO UNATUMIWA NA BAADHI YA WAHUNI WACHACHE KULETA FUJO..NA UONGOZI UMESEMA KUMEONGEZEKA SANA IDADI YA WAUMINI KUTOKA NJE TOFAUTI NA WALIVYOKUWA HAPO NYUMA NA KILA WAKIMALIZA KUSWALI WANAOMBA WAENDE KWA AMANI CHA AJABU WANATOKA NJE NA KUANZA KULAZIMISHA MAANDAMANO..NA NDIO MAANA TUMEAMUA KUFUNGA KILA BAADA YA SWALA AMBAPO SHULE NA BAADHI YA MADUKA PAMOJA NA BENKI ZILIFUNGWA KWA AJILI YA HAWA WAHUNI WACHACHE KULETA FUJO

HIVI HII NCHI INA RAIS???KWA NINI USUOMBE MUNGU AKUPE ROHO ZA RAISI KAMA WA RWANDA MH RAISI WATU WAWE HURU UJINGA KAMA HUU UFANYI RWANDA AMA BURUNDI WATAKUSAHAU NA NDUGU ZAKO KAMA SIO WAZAZI WAKO NA WASIJUE HATA KAMA UMEZIKWA WAPI
 
Lini ndugu zetu hawa wataacha ukorofi? Wanaye Sheikh Mkuu, kama wanaona kuna tatizo wangetuma wawakilishi wao kwake then yeye ndie apeleke serikalini. Sasa wanachofanya siyo utaratibu na wajue nchi pamoja na kasoro zake bado ina utaratibu wake.
 
Dini ya hawa jamaa formula ni jino kwa jino...ila cha ajabu ni kwa watu wengine sio kwao.......
 
Hivi ndugu zanguni waislamu mnafikiri awa awaa famili za kupumzikanao ijumaa kila ijumaa wakuwaze wewe tu mwendesha fujo jamani???
 
Attachments

  • POLICE.jpg
    POLICE.jpg
    47.4 KB · Views: 60
  • POLICE 2.jpg
    POLICE 2.jpg
    50.1 KB · Views: 57
srce BBC
HIYO NI MILIPUKO ILIOTOKEA LEO KWA POLISI KUPIGA HEWAN RISASI ZISIZO ZA MOTO KWENYE MSIKTII WA IDRISA
AMBAO UNATUMIWA NA BAADHI YA WAHUNI WACHACHE KULETA FUJO..NA UONGOZI UMESEMA KUMEONGEZEKA SANA IDADI YA WAUMINI KUTOKA NJE TOFAUTI NA WALIVYOKUWA HAPO NYUMA NA KILA WAKIMALIZA KUSWALI WANAOMBA WAENDE KWA AMANI CHA AJABU WANATOKA NJE NA KUANZA KULAZIMISHA MAANDAMANO..NA NDIO MAANA TUMEAMUA KUFUNGA KILA BAADA YA SWALA AMBAPO SHULE NA BAADHI YA MADUKA PAMOJA NA BENKI ZILIFUNGWA KWA AJILI YA HAWA WAHUNI WACHACHE KULETA FUJO

HIVI HII NCHI INA RAIS???KWA NINI USUOMBE MUNGU AKUPE ROHO ZA RAISI KAMA WA RWANDA MH RAISI WATU WAWE HURU UJINGA KAMA HUU UFANYI RWANDA AMA BURUNDI WATAKUSAHAU NA NDUGU ZAKO KAMA SIO WAZAZI WAKO NA WASIJUE HATA KAMA UMEZIKWA WAPI

Hapo kwenye red sinasikia Ponda ni Mrundi kwa nini asiakabidhiwe kwa mwanakandanda wa Burundi Pierre Nkurunzinza akamkolimba kwa niaba yetu.
 
haahaaa kigene
logistic zinaendelea naomba hili liishie hapa tupe muda tuko imara
 
Back
Top Bottom