Hofu ya mabomu kariakoo!

Hofu ya mabomu kariakoo!

Migomigo mbona kupo shwari tu...
 
mbona hiyo taito haiendani na yaliyomo au mimi ndio nimeshindwa kuelewa?
 
No_mimi nafikiri hizi dini zote za kuletwa na meli,bora zipigwe marufuku afrika...maake zime-prove failure zaidi ya 100%,....let's go back to our roots.

Hapana mbona dini zingine zinahubiri kwa ustaarabu kwa nini iwe kwenye dini ya kiislam? Tatizo waislam walishajihesabia haki.
 
Waslam wamelegea.i mean leo wamechemsha tena kuandamana.
 
[h=5]nasikia mtaa wa kongo mabomu ya machozi yanawaka[/h]
 
No_mimi nafikiri hizi dini zote za kuletwa na meli,bora zipigwe marufuku afrika...maake zime-prove failure zaidi ya 100%,....let's go back to our roots.

Yap! Naunga mkono hoja.
 
Nipo magomeni hakuna tatizo ila kariakoo ndiyo hali ni mbaya mabomu yamepigwa watu wanakimbia ovyo maduka yamefugwa watu wanapanda gari lililo mbele yake bila kujua linakoelekea.

leo mvua hii sidhani mabomu ya kutoa machozi yatatumika!
Leo kikiwaka ni maguruneti, risasi za motoo, rocket propeled grunet kama hizo!
Mungu utunusuru na kuzoa maiti!
 
Last edited by a moderator:
Nipo magomeni hakuna tatizo ila kariakoo ndiyo hali ni mbaya mabomu yamepigwa watu wanakimbia ovyo maduka yamefugwa watu wanapanda gari lililo mbele yake bila kujua linakoelekea.

mwaka huu uchumi wote utaishia kununulia mabomu ya machozi.
 
Mungu atusaidie mana hawa wenzetu wanayatamani sana maisha wanayoishi watu wa Afganistan
 
Wanajamvini nimetumia msg magomeni hapafai, nipo mitaa ya Salenda nimeona pikipiki za tigo zimepita kama 100 hivi kuna nini uko usalama jamani

nyie ndio wakabaji pale salenda,mh msigwa anawatafuta sana!
 
Mungu wao anatukuza starehe za mwili kuliko roho. eti ukifa utakutana na nyoka mwenye vichwa saba kaburini. sasa waliokufa kwa ajali ya moto je? ati peponi kuna wanawake wanaitwa hurlain wana ****** makubwa yaani wanahusudu kufirana tuu. mtume wao kaoa 12, kati ya hao wengi ni under 18. wao wamebaniwa wa 4 tena above 18. duh
 
ppsta nako polisi wanasambaa.....

Atakayeandamana imekula kwake....

Mwenye masikio na asikie
 
Mimi nimepita magomeni kama nusu saa hivi iliyopita kulikuwa shwariii so sijui kwa sasa hivi
 
Labda magomeni kmenuka bada ya mvua kunyesha watu wamezibua vyoo
 
Hujui leo ni siku gani, muda wetu wa IBADA huu

MFUMO MUDI.

Haiwezekani siku yao ya ibada walindwe hivi wakati jumapili sisi hatulindwi. Jumapili ijayo tutaandamama mpaka ikulu tudai jumapili nayo ipambwe na mapikipiki na madifenda ya Carrabinieri
 
Back
Top Bottom