Masuala ya kisaikolojia kama kujali sana kuhusu afya(hypochondria), udadisi uliopitiliza(obsessive compulsive disorder) au olfactory reference syndrome(kujali sana kuhusu harufu za mwili).Alichosema ndicho ulichokisema in one word. Swali nadhani ni: cause ya hiyo condition ni nini?
Sasa kutokana na hofu ya kunuka domo nilishaenda kwa daktari akanicheki akaniambia sinuki mdomo, hapo unasemaje mwagito?
Sawa.Tatizo sio kunuka mdomo, unatakiwa kucheki afya yako ya kinywa, meno & fizi kama kuna mashimo mashimo kwenye menu hata upige mswaki vpi kuna time kitatema tu
😂😂😂😂😂😂 hoooooFanya "hooooo"
🫢🫢🫢
Hii ninayo aseee iko njema sana.Piga mswaki kwa nusu saa kila siku ukitumia hizi nyenzo, hofu itaisha
View attachment 3520708
View attachment 3520710
View attachment 3520712
Darkest psychologyNaenda moja kwa moja kwenye lengo kuu.
Ndugu yenu BICHWA KOMWE muda wote nina hofu sana na kunuka mdomo.
Licha ya usafi mkali ninaopiga mpaka koromeo linaomba poo, lakini niko makini vibaya na mdomo. Kila wakati najinusa na kujipiga mouth wash.
Kuna wakati nilifukuzwa na mama mwenye nyumba kutokana na kupiga mswaki kwa makelele na kugohoa.
Niko conscious sana na domo. Kuna jamaa angu huwa namuuliza kama nanuka mdomo ananiambia sinuki. Lakini bado nina mashaka.
Hii hofu ya kunuka mdomo na wakati domo halinuki inatoka wapi?
Halafu nani alianzisha haya mambo ya kunuka mdomo ndo yanatusumbua akili sana.
Sijui ni wale jamaa wa ile kanda wanaopiga miswaki kwa miti? wana harufu wale! Hee. Anyway tuyaache hayo.
Karibuni sana kwa maoni.
Akili zake mtoa mada anazijua mwenyewe!
Kutoka kwa Dr. MinHofu ipo Kama unatumia dawa za mia 3 ,kila ukila haupigi mswaki lazima unuke, Kuna wengine hunuka mpaka pua, unaweza fikiria ni mdomo kumbe ni chemba za pua zinatema, mengine ni ugonjwa tu hivyo wanapaswa kuitambua hali Yao na kumwona daktar.
Nimekumisi, vipi wajomba zangu hawajambo?Kutoka kwa Dr. Min
Santo sana kwa mwongozo
Miss you tooo 🤩 Ankoz Wako poa sana wanakusakimiaNimekumisi, vipi wajomba zangu hawajambo?
Ooh wape hi sana , waambie mjomba ni mama japo hana nyonyo.Miss you tooo 🤩 Ankoz Wako poa sana wanakusakimia
Kabiiiiiiisa. Salamu zimefika rafikiOoh wape hi sana , waambie mjomba ni mama japo hana nyonyo.