Hodiiii ndugu

Simolunda

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
453
Reaction score
81
Mgeni akikaribishwa vizuri hujsikia furaha,amani,na upendo.nahitaji kupenda kupendwa na kufurahi na ndugu wote.amina
 
Ushauri wa Latavi ufanyie kazi, karibia!!
 
Karibu mgeni.


Wah: Katavi, Chatu dume, Karen Happuch, naomba muongozo wenu.
Hivi kwanini wageni wenye majina kama sweetie, soothheart, Gal gal, malovee, nightmachejo, lady O n.k wanapokelewa kwa page 9
lakini akina ngamakama, Sebukwa, Kisorya ni nusu page. why? si ubaguzi

naomba kutoa hoja
 
Mgeni akikaribishwa vizuri hujsikia furaha,amani,na upendo.nahitaji kupenda kupendwa na kufurahi na ndugu wote.amina

...............karibu sana Simolunda,jisikie furaha,kuwa na amani unapendwa saaana jamani,wewe jisikie huru pita mpaka ndani,huku kuna kila kitu,kwanza kunywa maji ya baariiidi utulize kiu...........

.........hawajambo huko utokapo,je wamekutuma salamu,aaah,basi huku kwema,je wewe ni wa kike au kiume,je umeoa au kuolewa,je unamchumba?..........ungependa kupata mchumba au mpenzi?................,basi pumzika wakati unajinadaa kujibu maswali hayo ya utambulisho.........pitika kanuni kama ulivyojuzwa na wengine ,usisahau pia kuchangia kwa hali na mali,......................tunajua kuwa kutoa ni moyo nawe tuna imani kuwa una moyo safii na mkono mwepesi................usikwazike,tembelea majukwaa ni mengi sana,ya siasa,elimu,lugha,mapenzi namhta ya wakubwa jitadidi kupita kote huko......................

Karibu sana.......mi naitwa mwenzetu,niko hapa na pale................
 
good observation but leave it as it is.
 


Hii observation ya ukweliiii..... Dah!


BTW.... Karibu saana Simolunda...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…