Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Nimepitia video ya ndugu samia hana furaha na hayuko sawa heti anawaambia wamama alio waulia watoto zao wawakanye wasidai haki.
Ndugu Samia alikuwa njiani kuelekea Arusha na kikundi chake cha maigizo.
Yeye ni amani amani tu, hata wale wasiopewa miili ya ndugu zao yeye anataka amani amani.