Hodiii!

Kuna mahal nilipita nikaona kaomba mwenyewe afungiwe
(Usianze tena mambo ya mgen mwenyeji sisi.Mi sio mlemavu natembea).

Sasa sisi kama ndugu zake tunafanyaje dada?
🤣🤣🤣🤣Sawa naona umeamua kuwa mzururaji
Sisi Kama ndugu zake tumuweke kwenye maombi tu amalize kifungo salama maana kifungo hiki hakinaga appeal
 
🤣🤣🤣🤣Sawa naona umeamua kuwa mzururaji
Sisi Kama ndugu zake tumuweke kwenye maombi tu amalize kifungo salama maana kifungo hiki hakinaga appeal
Nafikiria kwenda kwa mwamposa nipate mafuta nije niyapake kwenye ID yake.😬
Tuwe tu na iman
 
Atakuwa katukanana alikunywa Lubisi
ban kaomba mwenyewe apigwe ban kimasihara ni kwambba yanga akifungwa ameomba ale ban ya miezi 6
tena akasema anawaomba mods watekeleze ombi lake
 
Daah Ila Jf Inasaidia Kiasi fulani Kuna Watu wanaleta Changamoto zao na Wengi Wanatoa Ushauri mzuri na Wengine Mbovu Ila Ukitulia na Kuchambua Unapata Mazuri Yapo
 
Sitakubali kuliwa maisha yangu yote

JF ya Max Melo imenipatia mume. Clepatina naolewa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…