Hodiii!

Hapo Sasa itifaki itazingatiwa Kati ya mjumbe na mgeni,😁😁
Dada utanikabidhije kwa watu bila kupata ridhaa yangu?Mwenzio sehemu kama zile napenda kupita na kuondoka kimya kimya?😬
 
Mie amenikosha hapo tu venye anajua huyu ni dada huyu ni kaka!😊!


Akaribie sana
Kama wewe si najua tu ni dada ?
Kuna niliyemuita dada akakasirika kumbe ni kaka.
Ni rahis kukisia na ikitokea nimekosea mnisamehe tu sina nia ya kumvunjia yeyote heshima
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…