Karibu sana kijana.Wanasema mgeni njoo wenyeji wafaidi.
Sina fedha wala dhahabu za kuwafaidisha nazo ila nitawanufaisha kwa kutoa michango mizuri kwa kadiri ya upeo wangu.
Nimekua naogopa kuingia kuchangia ila ndo nishajitosa naombeni mnipokee dada zangu,mama zangu,kaka.zangu na baba zangu.
😂 hilo siliungi mkonoHapana mimi ni dada..Wanaofuatia ndo mawifi zetu
😅Nataka kuwa kama da Joannah alivyo kwako
Dada mgeni wetu had kimasihara anaijua hakika anafaaWe Tulia,hapa ndio umeshafika UZURI kimasihara unaijua basi wewe umekwiva,hakuna Cha kukutikisa
Siwezi kubali kukupoteza 😉Kila kitu kina mwanzo na kwangu itakua ndio mwanzo wako wa kupoteza.😀
Mdogo wangu nimempenda mjanjamjanja Sana.....🤣🤣🤣Dada mgeni wetu had kimasihara anaijua hakika anafaa
Unaharibu sasa sema wifi yako 😄Mdogo wangu nimempenda mjanjamjanja Sana.....🤣🤣🤣
Uko peke ako sisi imani yetu haituruhusu zaidi ya mmoja hao wengine watoke wap?Mawifi OG itakua wako pembeni wana nizoom tu nijichetue wanigombee ka mpira wa kona🤣
Nakusalimia mrembo,njoo pm namba yako ilikifuta bahati mbaya,nitumie Tena nikuambie jambo zuriMawifi OG itakua wako pembeni wana nizoom tu nijichetue wanigombee ka mpira wa kona🤣
🤔🤔🤔🤔🤔Au usiku walikutorosha wewe?ulikutana na mjumbe wa mtaa wa Kula tunda kimasihara bwana Carlos The Jackal ,,maana Kama mgeni umetembelea ule mtaa lazima awe na taarifa zako?Kwa hiyo da ,Joannah ulitegemea tokea nimejiunga niishie sebuleni tu kweli.?
Mbona nishazunguka zunguka sana tu dada yangu?