Hodiii wana JF

Yan nimefurahii ..nilijua nipo peke yngu..asante kassie matata...nafikiri utakuwa matata kweli kama jna lako[emoji23]
Ndo nishakaribia kuja kula vinono vya jamii forum

Kila la kheri bibi mwenzangu.
 
Mababu pia wako humu ila bado wako imara usipokuwa macho inanasa kweupee hivi unajiona.[/QUOTE]

Apo kwa mababu menifurahisha[emoji1] [emoji1] mi tainasuaaa
 
[emoji23] [emoji23] mwifwa , hujawai ona??? Kua uyaone mwanangu...ww bado mdogo ndo mana hujawai ona ukikua utayajua mengi mjukuu wangu...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…