Hodiii wana JF

Haloooo kila mtu na maujanja yake bibi unaeza ukaona yako zaidi kumbe babu anainjoi ya nwingine[emoji108] [emoji23]
Weeee nkijua namkata[emoji533] [emoji533] yke uyo babu yko..

Na mdada nakata[emoji77] [emoji77] yake
 
Huyu Bibi wa mwendokasi nmempenda maana amechangamka utadhani ametiwa ndimu.... Mpeni namba yangu. Nimkutanishe na style ya kitambaa cheupe...chungulia....

Maana naona kweli ni wa mwendo kasi tena ile express.... Ngependa mfaham mtu huyu.
 
Maisha ya kuigiza marahisi sana

Hapa hamna cha bibi mgeni wala nini!!

Wajanja tumeshashtuka zamaniii...

Muda utasema tu.... [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Karibu muigizaji mwenyeji mwenye 'aidii' mpya



NB; Wafukua makaburi tupo standby 24/7
 
Endelea kujifunza kutumia mitandao bb ukijua uje na nyuzi za katani.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…