Hodii wana JamiiForums

Kafka Bruno

JF-Expert Member
Aug 21, 2016
301
328
Habari ndugu zangu wa Jamii forum,naomba mnipokee niwe mmoja wa familia yenu tufundishane,tuelekezane na pia tupeane maarifa mapya kwani naamini Jamii forum ni kisima cha maarifa
 
Nimekuwa wa kwanza kulike post yako...ni muhimu sana nimekufungulia njia
 
Nashukuru sna Mshana Jr,pia kiukweli nimekua mshabiki wa posts zako Maana kabla ya kuamua kujiunga Jamii forums nilikua napitia nyuzi zako Mara kwa Mara mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom