Hodi wana jf

The Finest

JF-Expert Member
Jul 14, 2010
21,605
6,071
Kwa kweli nimefurahishwa na mada zinazozungumziwa humu ndani na pia member s mbali mbali wanaotoa michango yao yenye kusaidia na kuelimisha mawazo na maoni yenu ndiyo yamejifanya nijiunge kwenye hii familia kubwa nilikuwa mpita lakini nikaona hapana bora nijenge kabisa kibanda natumaini mtanipokea kwa mikono miwili nashukuru sana.
 
Karibu sana The Finest. Jisikie uko gesti!
 
Karibu sana... Naona hekima inazidi.. Hongera sana KIJANA umetoka mbali..
 
Mimi nipo bwana mzima kabisa... Hiyo avatar ni kwa ajili ya HARTI BREKAZ kama wewe...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom