Jayfour_King
JF-Expert Member
- Nov 15, 2009
- 1,135
- 128
Karibu, umoja ni nguvu na uwe sehemu ya umoja huo tunaoutarajia.
hahahahaaaa,Mpwa umenifurahisha na huu utambulisho,teh tehVISIBLE karibu sana tuko pamoja naitwa NGULI natokea jukwaa la mahusiano.
Hi Great Thinkers,
Na furaha isio kifani kujiunga nanyi siku hii muhimu.
Ikiwa imebaki siku moja kuadhimisha siku ya uhuru wa TANGANYIKA nawaomba mnipokee kwa mikono miwili.
Kwa kuwa nimeshaona baadhi ya mada humu JF nyingi zinaelimisha kwa kweli hivyo ili JF iweze kufanya kazi zake sawa sawa,ningeomba kuichangia kitu kidogo.
Ningeomba kuepo na namba ya voda ili nitume kwa njia ya kuhamisha salio.
Nitafurahi sana kama itakuwepo namba ya vodacom ni rahisi coz nitatop up kwa urahisi zaidi nami ni subscriber wa voda.
Mwisho:nawaasa wenzangu kuichangia JF kwani kwa ujumla inaelimisha jamii kwa kuondo ujinga.
asanteni kwa kutumia a second of your time reading my message.
Thanks a million.