Hodi kwenu mimi "mgeni"

Hodi kwenu mimi "mgeni"

GoLC

Senior Member
Joined
Jul 10, 2025
Posts
138
Reaction score
218
Habari mabibi na mabwana. Hodi tena humu jukwaani kwa maana mimi sio mgeni humu kiasi hicho. Nimekuja kwa kusudi maalum, nalo ni habari njema hasa kwa ndoa zetu na wanandoa. Hivyo popote utakaponiona na kunisikia ujue kwa asilimia kubwa ni masuala ya ndoa na mahusiano hadi kieleweke.

Tunajua ndoa nyingi zina changamoto, hasa ndoa za ujana na vijana. tatizo hata wazee siku hizi wanataka kuukana uzee wao na kujivika ujana na ndipo mambo yanaanza kuharibika. Sasa nipokeeni pengine nitaweza kunusuru ndoa za wengi humu pamoja na huko duniani.

Kwa utangulizi huu nikomee hapa. Naombeni tena ukaribisho wenu wa dhati
 
Huyo mod hapo juu wala hatutishi kukwambia urudi kwenye ID yako maarufu ukute kule ni kataa ndoa lia lia kutwa kupotosha vijana halafu unakimbilia huku kwenye fekero kujidai mponyaji wao
Asante sana Numbisa Wewe utakuwa kesi yangu ya kwanza kabisa. Yani ujue tu kuwa Mungu kakuleta. Lengo la kuja hivi ni kuwa muwazi zaidi. Pia nitaweka na mawasiliano yangu wazi na nitakuwa sina cha kuficha ili kuwafikia wengi. hao kataa ndoa unaowataja nitawafikia pia. Lengo ni kuwa na jamii inayotambua wajibu, kwa maana ya baba na mama katika ndoa na familia
 
Habari mabibi na mabwana. Hodi tena humu jukwaani kwa maana mimi sio mgeni humu kiasi hicho. Nimekuja kwa kusudi maalum, nalo ni habari njema hasa kwa ndoa zetu na wanandoa. Hivyo popote utakaponiona na kunisikia ujue kwa asilimia kubwa ni masuala ya ndoa na mahusiano hadi kieleweke.

Tunajua ndoa nyingi zina changamoto, hasa ndoa za ujana na vijana. tatizo hata wazee siku hizi wanataka kuukana uzee wao na kujivika ujana na ndipo mambo yanaanza kuharibika. Sasa nipokeeni pengine nitaweza kunusuru ndoa za wengi humu pamoja na huko duniani.

Kwa utangulizi huu nikomee hapa. Naombeni tena ukaribisho wenu wa dhati
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
 
Back
Top Bottom