Hodi JF | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hodi JF

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by Nyakarungu, May 1, 2011.

 1. N

  Nyakarungu JF-Expert Member

  #1
  May 1, 2011
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 449
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Nimekuwa msomaji wa muda mrefu sana wa mtandao jamii huu,na nimefurahishwa na kurasa zake, hivyo leo naomba kupokelewa kwani ndio nimejiunga leo japokuwa mimi ni miongoni mwa wafuatiliaji wakubwa na wa zamani wa taarifa za humu.jamani naombeni tudumishe fikra za wapenda maendeleo na tuwe na mtazamo wa mafanikio zaidi.
  Naitwa, Grayson Nyakarungu
  ''Washa Taa Mchana''
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  May 1, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  hii si sehemu ya kupigia hodi...
   
 3. L

  LAT JF-Expert Member

  #3
  May 1, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  ameingia na kaujanja kidogo .... kachomekea operesheni washa taa mchana
   
 4. m

  mkuki moyoni Senior Member

  #4
  May 1, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe nangwangwa...acha hizo wewe,kwni humu sio kwako...tafuta kijiwe cha kujibu upumbavu wako huo...........naamini kila ajaye humu anafaida kwa jamii,najua wewe uko hapa kwa kufanya umbea tu............Nyakarungu welccome mimi nakufahamu kwa kupitia vyombo vya habari tu na fununu kuwa wewe unagombea bavicha,bt hapa ndipo nitaweza kukufahamu vizuri kwa hoja zako.....uwezo wako wa kujenga hoja na kuisimamia,pia usitegemee mm nitakuunga mkono kwa sura yako au misifa uliyonayo,ila nitakukubali kwa kukusikia unampango gani mbele ya hapo....tahadhari ni kuwa humu kuna ushabiki mwingi ni sehemu ya kupima busara na upeo wako pia.......KARIIIBU.
   
 5. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #5
  May 1, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Mwaego, karibu!! kupiga hodi ni busara.
   
 6. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #6
  May 1, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  mkuu kamwelekeza mwenzetu, sio unachekea makosa matokeo yake yanazaa ufisadi, kama jinsi taifa letu linavyoangamia , hii sio sehemu ya hodi, huo ndio ukweli lakini hayo matusi yako hapo chini unaitaji kikombe cha babu
  anyway msekwa na makamba wanaendeleaje na mkakati wao mkuu?
  wasalimie
   
 7. L

  LAT JF-Expert Member

  #7
  May 1, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0  mkuki moyoni
  Join Date : 29th April 2011
  Posts : 42
  Thanks 0 Thanked 0 Times in 0 Posts
  Rep Power : 0


  mbona Ng'wanangwa ametoa ushauri tuu kuhusu .... wewe pia ni mgeni tena umejiunga juzi ...haujui hata sheria za humu jf ..kuna jukwaa mahsusi la member introduction ..... huku ni kudandia gari kwa mbele ....hata membership status yako haijabadilika halafu unandika lugha za kebeli kwa wenzako

  mods ban this idiot
   
 8. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #8
  May 1, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  haya maneno ni ya kitapeli au kumdenda mtu
   
 9. m

  mkuki moyoni Senior Member

  #9
  May 1, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  haya nisameheni,tusichafue mada ya Nyakarungu,kwani anahitaji kufurahia kuwemo humu,si mnaoana tumesababisha amekaa kimya.....basi tuache jamani mimi nikubali nimekosa. Nyakarungu sema kijana....usiogopeee ndivyo jf ilivyo.........hahahaaaaaaaa
   
 10. N

  Nyakarungu JF-Expert Member

  #10
  May 1, 2011
  Joined: May 1, 2011
  Messages: 449
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  To every action,there is equal and opposite reaction, so for the sake of democracy am let every body speak with no undisplinary manner...thanks for your contributions and alerting me the oliblatory rules and its by laws, ''the youth as the engine root of any association we have to stand against tryrants and outethical leaders,in order to achieve the nation we dream about''
   
 11. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #11
  May 1, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,014
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ndo JF mkuu
   
 12. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #12
  May 2, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Karibu sana mkuu,nasi tulianzia huko.
   
 13. jockey emmanuel

  jockey emmanuel JF-Expert Member

  #13
  May 2, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 330
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  karibu sana.....be a great thinker:smile-big:
   
Loading...